@_djmoresa: Replying to @januh295 #mathisnotmathing #djmoresa

DJ Moresa
DJ Moresa
Open In TikTok:
Region: KE
Tuesday 21 October 2025 14:29:15 GMT
321343
5753
906
1358

Music

Download

Comments

rozyvicy
mum Vicky :
Baaaaaaaassss wewe ndio utahesabu kura 2027😂😂😂😂😂😂😂
2025-10-21 20:48:15
838
kips847
Kipkirui Dm :
at the end, you made profit na akili ya kondoo 😂😂😂
2025-10-21 16:31:02
477
rasputin624
rasputin :
Kuna mtu anakula uyu😁
2025-10-23 08:06:21
0
abdi_lema
Abdi🇰🇪🇺🇿 :
Tafta Sudi mlee watoto Sasa..umequalify
2025-10-22 13:43:06
51
noshkem
@noshkem :
sasa1050+1050 ni ngapi😂😂😂😂😂💔
2025-10-22 13:27:08
5
skutakings
Skuta Thiriku Kingori :
mnajifanya hamjaskia hapo Kwa..huyu wakulane na huyu abaki🤣🤣
2025-10-22 06:33:11
35
aperetum3
Kimtai🌍 :
No wonder nikilewa hata nikikua na 50,000, huwa narudi home na 7 bob, nmejua sasa 😂
2025-10-22 20:44:15
10
user8858499123367
ndung'u 📖📖📖 :
hakuna kitu hunifurahisha kama kuona mtu mjinga kuniliko 😂😂😂😂😂
2025-10-22 10:42:13
48
kenyangal_2
MonicaNgina :
950 ndio ulifaa kumpea so nikama pia ako na deni yako😁😁
2025-10-22 13:15:03
4
onlinewizard4
online wizard :
mbona sielewi hii hesabu,,,ama akili yangu ni kama ya karen nyamu
2025-10-21 22:24:54
14
bleck.dancer
bleck dancer :
Wewe na huyo mlevi wako same group hata yeye alikubali kulipa 1050 kwa pombe ya 350 na 70🤣🤣🤣🤣
2025-10-22 06:00:35
4
user8340350259998
Mkuundugu yenu😎 :
wewe ndio mlevi mamaa😂
2025-10-21 16:49:28
66
chei8053
chei :
wewe tuhesabie siku za mwizi zimebaki ngapi
2025-10-22 05:21:39
7
wambita5
wambita :
I highly admire your simplicity when it comes to critical thinking 😂😂
2025-10-21 21:04:24
5
mutoroisaac
ISAAC KE :
alafu wewe ndio utahesabu kura 😂😂😂 sioni 1050+1050 ni ngapi 😅😅
2025-10-22 22:19:34
1
victorbii036
Mr positive :
uko na akili ama ni hiyo tuh💔😁😂😂😂nkt
2025-10-22 20:36:14
0
the.hirams
It's hiram :
enyewe body parts hazifanani..vidole supuu hivi zimebeba kichwa ya nguruwe
2025-10-22 13:00:01
2
travissidney22_
travissidney22_ :
wewe na oscar sudi mukishikana it's over for us😭😭😭😭
2025-10-22 21:23:07
4
_benso0
_benso :
unauzianga wapi nikuavoid😂😂😂
2025-10-22 06:58:27
1
kegithinji
Githinji :
Wewe ulienda shule kukalisha wengine
2025-10-22 14:06:36
0
1oliverperrymore
Oliver perrymore :
usifanyie mtoto homework
2025-10-23 04:54:01
1
johnkungu857
yasmin :
😂😂😂 wewe ata si dropout ulifukuzwa shule
2025-10-21 21:33:04
4
antmadhai
antmadhai :
The logic is not mathing
2025-10-23 06:39:16
0
sungutizdaprince
Sungutiz Da prince🇰🇪‼️ :
𝙃𝙞𝙮𝙤 𝙖𝙠𝙞𝙡𝙞 𝙛𝙞𝙘𝙝𝙖 𝙩𝙪𝙩𝙖𝙩𝙪𝙢𝙞𝙖 2027 😂😂
2025-10-22 12:20:42
8
babygal_lydy
Babygal ❤️ 💕 :
nani mlevi kati Yako na yeye?
2025-10-22 06:35:01
4
To see more videos from user @_djmoresa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About