@favourrightbabyshopnarok: Be very careful of these people who come to your shop claiming they know you and they want to talk to you.#Narok#maasaitiktokers #naroktiktokers👐 #Narokbusiness
This has been going on for soo long kwanza kuna jamaa mwingine najua ufanya hivyo kuna siku alikuja nikamfukuza vibaya akashagaa najua ni mwizi....sa ingine anajifanya ati kuna bike hapo inje umpee pesa alipe alafu atakulipa zote na ya nguo.😳
2025-10-23 07:00:14
3
olesarunikelvin :
so sorry mama Kim aki, very sad... report the case to DCI
2025-10-23 14:56:13
2
Mi💎Shen♥️ :
na leo ndo me nmekuja kukupromote then huyo jamaa ulimwacha kwa duka he make a phone call then he make sure ameconfirm ...sorry madam
2025-10-26 19:41:49
1
Nice :
I can attest walai niliwahi peana stock worth 8000 na ni duka ya wenyewe pole Sana lucy
2025-10-23 06:42:17
2
David Ole Sekut :
pole sana,nanda kwa DCI uripoti then hizo namba zake ziwe tracked
2025-10-22 17:23:34
2
CHRIS_LEMUNKA :
there's nothing mlifanyiwa ni akili tu mtuwangu na awareness
2025-10-23 18:38:59
2
leahnaserian1 :
weka cctv sasa
2025-10-22 18:49:53
0
kwamboka :
sad though...
2025-10-22 17:43:19
2
️ :
Hakuna kitu alimpa the trick was to insist that yeye ni customer and making the phone calls confidently(earning trust)
2025-10-23 09:18:41
0
annwesh :
woi hata Mimi niliimbiwa tu na m mama na ni mwalimu na aka ni block
2025-10-23 08:28:44
1
Dahn Ntaiya :
mm karibu niibiwe stock yote 😢
2025-10-23 05:27:22
0
mama Tee❤️😍 :
Pooolee💔
2025-10-22 19:20:35
0
seleina39 :
wah aki pole momma
2025-10-22 18:23:36
0
Annita cherip :
Ukweli mummy wako kwanza wamama
2025-10-23 06:11:42
0
beth murage :
that happened to me,long story BT pole
2025-10-24 21:01:57
1
wam_sam :
leta hii number yake
2025-10-24 14:02:35
0
Senior Counsel001 :
Hata wezi wako na familia Janani.
Njia za kuhustle ni mingi😁
2025-10-23 19:05:56
0
Amillo :
pole dear ashindwe
2025-10-24 13:49:21
0
Juliath chepkoech Bett :
sorry mam kim
2025-10-24 19:19:27
0
elitefashionnarok :
i am so sorry for that
2025-10-24 19:31:42
0
JaugenyaJoel :
Ukiacha mtu kwa shop, yeye ndio final; mambo ya kupigiwa ni Noma,
2025-10-24 10:53:19
0
ireenkendi373 :
my dear that story for another day nishai kapitia pia so sorry
2025-10-24 07:15:35
0
princess Dianah :
pole sana haki
2025-10-23 07:51:17
1
Favour-rightbaby shop :
thankyou dear
2025-10-22 18:39:55
0
Mimi@8 :
easy: give instructions through the person at the shop
2025-10-23 01:12:12
0
To see more videos from user @favourrightbabyshopnarok, please go to the Tikwm
homepage.