@tiktok_facts7: #sautiniulinzi🤗

sauti_facts🇹🇿
sauti_facts🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 22 October 2025 20:35:10 GMT
58523
3386
81
1088

Music

Download

Comments

shakurjuma1
shakurjuma0 :
siwezi kukunyima like bro ila umeuza code mzee
2025-10-23 03:53:33
35
mitchellkadesa0
Kadesa💝♎ :
kama mwanaume hakuheshimu mbona wewe umheshimu, umemvumilia maovu yote lakini habadiliki we retaliate, respect is earned not given 😏
2025-10-23 05:36:20
6
gemini.fey
reywangu :
ngoja nijitahid maana hii kitu ni kweli asilimia 💯 sema kuna wale wanaume wasiokupenda hata ufanye nn kaz bure
2025-10-23 13:56:44
5
hamadmello
HamadMello :
Kama Jamaa kasema kwel , Weka like apo
2025-10-23 03:03:31
16
fouruser574062012690
TJAPHET J.4 :
gud
2025-10-24 08:40:02
2
user9081035935758
joyce :
Huy naye kilaz sana unajiongelea au unaongelea
2025-10-23 10:24:26
3
majeshi14
M.cent🫂 :
Dah!! umeongea ukweli, for 💯💯💯 percent
2025-10-23 03:06:11
4
innocentsweddy0
Innocent-Sweddy :
Nakubali sana na ukweli mtupu
2025-10-24 15:04:45
0
user7563823452071
neem deus :
hapa Lila mtu anachanganikiwa kwa wakati wake😂😂😂
2025-10-24 16:01:28
0
salimmwachapuo
SALIM :
kwr mkuu ✌
2025-10-23 03:30:38
3
fazza.wa.fazza
Fazza wa Fazza :
vyote vinawezekana endapo tu mwanaume unatimiza wajibu wako
2025-10-23 11:37:14
5
user716126126098
user716126126098 :
kusema ukweli hii imenifikia na nimeipata na nimekuelewa vizur na kuanzia sasa nabadilika
2025-10-23 10:16:29
3
samuel.ringo8
Samuel Ringo :
jamaaa lililo van miwani linachekelea kinyama😁😁
2025-10-24 12:46:38
0
user1661998748240
zamy.zamy :
heshimu heshima😭
2025-10-22 22:23:24
6
trucker.steve37
trucker Steve :
unaongelelea ex wife aki , heshima hakuna but God did His part 💔💔💔💔
2025-10-23 03:38:53
4
bigbee902
Miss B :
Mtu anakuuzi afu anakuchagulia silaha ya kupigana nayo😁 yan
2025-10-23 05:33:19
3
isdori.irafay
israpa 99 🪖 :
it's true,,, mwanamke kiumbe cha ajabu sana unafanyia chochote ila anakuzawadia dharau 💀
2025-10-24 07:48:57
2
dekatushi3
Baba Charity🧔🫅 :
silent treatment inauwa mahusiano mengi sana..
2025-10-23 05:10:00
4
maarifa_tz
Maarifa_tz :
Familia🙏🙏🙏🙏
2025-10-23 19:44:44
3
muhojr4
MUHOJR :
yani umemaliza kaka
2025-10-23 15:39:47
3
oldwine19
XL🇰🇪 :
Wengi wao wazeheka kwao 😂
2025-10-23 19:38:37
2
rosejackson216
rosejackson216 :
muongo
2025-10-23 05:30:14
1
blackpearly86
Mrs..Dee💋 :
sahihi
2025-10-23 05:30:13
1
exaudjm
Muhammad wa5 :
Nachoka mimi
2025-10-23 07:05:22
1
ndaru634
ndaru :
👊👊👊safi san
2025-10-23 11:54:25
1
To see more videos from user @tiktok_facts7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About