@kijukuuchataifa: @Mshauri Serikali 🇹🇿

kijukuu cha taifa 🇬🇧🇺🇸🇪
kijukuu cha taifa 🇬🇧🇺🇸🇪
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 23 October 2025 06:57:00 GMT
311219
8368
998
2654

Music

Download

Comments

suleymansalimu5
suleyman salimu :
Bora ingeungua yote tena ningetaman Samia angekuepo ndani asante mungu
2025-10-23 08:52:35
19
lytrapha
lytrapha :
Sgr imemchoka 😂😂😂 imeamua kuandmana
2025-10-23 07:33:42
358
angelsalven
Prud~Angel🌹💕 :
juz tu nmetoka kupanda ili dude mweee🥺🥺🙌🙌
2025-10-23 13:23:29
0
_epydimple
EpyDimple :
Damu ya Yesu iwafunike kwa jina la Yesu.
2025-10-23 08:09:41
196
fayma399
🦋baby fahyma🦋 :
😂😂😂😂 hata SGR yenyewe inamkataa mm nani nimkubali sas😂😂😂💔
2025-10-23 09:18:47
11
therealbenadetha
Mama vee money :
Vichwa vyote duniani vinapenda kuhama 🤔
2025-10-23 08:41:02
8
kameta_official
MR TICKTOCK 😂 :
yani mpate ajali hivi na niwanyime like
2025-10-23 08:52:47
37
nelif86
Nelif :
watu wa mabasi sasa hivi
2025-10-23 11:48:32
17
emmy.magori
Emmy Magori :
Jamani Watanzania mbona mmekuwa na roho mbaya? watu wanapata ajali nyinyi mnafurahia! neno la Mungu linasema tafuteni amani na watu wote...unapoona hakuna amani omba sio wewe huchochee na kufurahia kumbuka hiyo treni ni kitega uchumi cha Taifa sio Mali ya mtu mmoja...kuna vijana wamepata ajira kupitia hiyo treni...Tuache roho mbaya na kukosa adabu..MJUE MUNGU SANA ITAKUSAIDIA
2025-10-23 08:49:50
22
kambonsofia
Queen 👸 :
kumeanza kuchangamka sasa Asante mungu Kwa hiki kidogo
2025-10-23 08:18:54
118
tzoctober29
Makomborero 29October :
Hadi Sgr imechoka kuficha maovu 😂😂😂imeamua kuwa kumbusha wabongo 29mtaamua wenyewe ujumbe imefikisha🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-10-23 08:20:23
23
deogratiusnazareth
GoDSigN :
kichwa kimevulugwa na mapenzi ndy sababu
2025-10-23 12:54:36
1
vooo410
vooo :
itakuwa AI bn
2025-10-23 09:43:42
0
bennybrown522
BROWN♓️ :
shidaaa ni hyo mmama ndo analeta haya yotee.....sisi kijijin kwetu mwezi wa saba huu mvua hakunaa na yeye ndo sababu😂😂
2025-10-23 08:43:21
15
kgman41
K G :
apo mwingne ndo kapanda mara ya kwanza alfu kapt ajal hawez rudia ten😂
2025-10-23 08:19:33
27
ztown0
A>FATHER>FIGURE :
hii lini
2025-10-23 07:37:01
1
estermandia5
Ester :
samia mitano tena🥺
2025-10-23 09:25:07
1
nd_electrical_con
ND ELECTRICAL :
hapo matengenezo billion 3
2025-10-23 09:07:21
0
user7872391186902
JITU JINI👿 :
hy mtumien bwana enu mange 😂😂😂
2025-10-23 09:13:55
0
tzfranki3
tzfranki@🎒 :
kumeanza kuchangamka
2025-10-23 08:05:37
7
user3060757862844
sirmiddle 2 :
Kila mwenye pumzi na amsifu bwana
2025-10-23 09:43:50
10
user5153706079095
naima seif :
kafala la Samia limegoma 😁😁😁😁 bibi unatoka ukitaka kuua watu wetu ili update nchi, Ngoma imegoma
2025-10-23 09:47:08
0
tatizo.kamdomo1404
TATIZO kamdomo :
reli inakataa inasema iyo siyo yake inataka yakwake og
2025-10-23 08:39:02
12
adarshkaso
Sea Eater :
kesho mfananishe na sgr ya kenya 😂😂😂
2025-10-23 09:56:07
1
ivona2386
Asmaa🧕🧕 :
lakin si hakuna marehem ayah token mpone harak tareh 29 inawasubilii
2025-10-23 09:33:55
1
To see more videos from user @kijukuuchataifa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About