@zebra_restaurant_: Replying to @habby698 KIBRIEFCASE,!! KIBRIEFCASE!! KIBRIEFCASE!! (INAPATIKANA KUANZIA SAA 6 MCHANA) JAMANI , THE MOST UNIQUE PACKAGE HAPA TANZANIA IS HERE, ZEBRA TUNAWALETEA "KIBRIEFCASE ", 1.KIBRIEFCASE SMALL = 20,000 PACKAGE YA MTU 1 inakua na zege special 1, chips sahani 1,kuku wa ndimu robo , sekela robo, fillet na nundu mishkaki, Zanzipizza. 2.KIBRIEFCASE LARGE = 30,000 PACKAGE YA WATU 2 inakua na zege special 2, chips sahani 2, kuku wa ndimu robo , sekela robo, kuku shuma shuma robo, fillet na nundu mishkaki, Zanzipizza. 3.KIBRIEFCASE XL = 40,000 PACKAGE YA WATU 3 inakua na zege special 2, chips sahani 3, kuku wa ndimu robo , sekela robo, kuku shuma shuma robo, kuku ndimu maziwa robo, fillet na nundu mishkaki, Zanzipizza 4.KIBRIEFCASE XXL = 50,000 PACKAGE YA WATU 4 inakua na zege special 2, chips sahani 4, kuku wa ndimu robo , sekela NUSU, kuku shuma shuma NUSU, kuku ndimu maziwa robo, fillet na nundu mishkaki, Zanzipizza MAELEZO/DESCRIPTION: JAMANI, SINA CHA KUONGEZA ZAIDI YA KUIACHA PRODUCT YENYEWE IJIELEZEE, ALAFU BEI YAKE SASA, HAIENDANI KABISA NA GHARAMA NA MUDA TULIOUTUMIA KUANDAA HII PRESENTATION YALIYOMO-: HII PRODUCT ITAKUA NA SPECIAL CHIPS MAYAI, CHIPS PLAIN, ZANZIPIZZA, KUKU WA AINA 4 AMBAO NI (SEKELA, NDIMU, NDIMU MAZIWA NA SHUMASHUMA), MISHKAKI YA NUNDU, MISHKAKI YA FILLET NA NUNDU. NOTE: KWA WATU WA DELIVERY, GHARAMA YA USAFIRI ITAKUA JUU YAKO, GHARAMA YA USAFIRI ITATEGEMEA NA MAHALI ULIPO. RATIBA: JUMANNE ,JUMATANO, ALHAMISI,IJUMAA,JUMAMOSI, JUMAPILI KUANZIA SAA 6 MCHANA HADI SAA 4 USIKU, KUWEKA ODA TAFADHALI:- PIGA 0688 151783 au 0658722393 KWA ODA ZA JIONI PIGA 0745117440 TUNAPATIKA KINONDONI BIAFRA, "MTAA WA ATLAS ROAD"... Kwa BOLT, UBER au GOOGLE MAPS andika "ZEBRA RESTAURANT DSM", NAMBA ZA SIMU ZIPO KWENYE BIO YA PAGE YETU HII.

ZEBRA RESTAURANT
ZEBRA RESTAURANT
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 23 October 2025 07:05:40 GMT
10580
314
19
3

Music

Download

Comments

thabittembo
thabith :
Zanzibar pizza mbaya😂😂😂
2025-10-23 09:42:31
1
iptysamnisha65
Pippy🍭 :
Zanzibar 😭piza tamu muuze ata kubwa zake jmn hatutoshek hicho kidogo🤣
2025-10-23 08:08:13
1
youngmanag.er
Dr.G🌹 :
Zanzibar pizza 🍕 ibaki🥰🥰
2025-10-25 19:20:32
0
adalyan5
Lala🦋😵‍💫 :
Wekeni sosej
2025-10-23 10:31:37
0
kimdorryofficial01
Kimdorry🧸officially🎀🍭 :
Bora sosej sis hatukuzila tulizo ela pemben sjui n ushamba 😂
2025-10-23 07:36:59
0
samomi.og
samomi og :
wekeni soseji tu😁
2025-10-23 08:51:42
0
anadelove1
Rahma Mwanri :
Bora soseji
2025-10-23 07:58:40
0
eptsome
eptsome :
ibaki
2025-10-23 07:44:42
0
m.jessie_01
Afry🥂 :
labda soseji 2 per person🤣
2025-10-23 08:17:24
0
elizabethy56
Winnie😜 :
soseji 😆
2025-10-23 09:57:46
0
gold..69
I am gold micharazo :
♥️♥️♥
2025-10-24 22:12:12
0
dianakinya6
kiki :
❣️❣️❣
2025-10-23 07:45:43
0
ryidian
Victoria or ryidian :
Ndio
2025-10-23 17:31:42
0
user8062658157872
sajda official :
piza
2025-10-23 07:15:47
0
madam.sally29
@madam Sally :
wekeni atakayo taka mtu me mwenyew liiacha
2025-10-23 07:20:06
0
zayreescollection
ZAYREES COLLECTION 💄👗👠🦋 :
Ndio toweni
2025-10-23 07:37:42
0
cypriano.bertha
Cypriano Bertha :
soseji
2025-10-23 18:35:30
0
iptysamnisha65
Pippy🍭 :
Bora utoe zege uiache hio piza nitawafata niwachape😹
2025-10-23 08:08:52
0
To see more videos from user @zebra_restaurant_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About