Tunao tamani waziri mkuu Kasimu Majaliwa awe Raisi Tujuane
2025-10-24 08:15:29
1998
Captain_Tesha :
TUTAKAO TOKA TAREHE 29 GONGA LIKE APA 👍
2025-10-23 19:13:07
2046
69_code :
tunaosema mama anaforce tujuane ✋
2025-10-24 07:05:35
566
maua/m🌹🥀 :
huyu mama itakuwa nikweli alimuwa Magufuli ili ashike madalaka 😢😢maana sio kwakufosi hivyo
2025-10-23 19:36:09
1066
Min. ASAFU MALAKI :
Ambao hatutapiga kura tujuane.
2025-10-24 07:31:03
462
prayzoo :
mnaotamn mam asishinde gonga
2025-10-24 04:42:38
351
KRISS BROWN TZ :
Unae soma hii comment mungu akulinde 🙏🏿🙏🏻
2025-10-24 04:52:17
279
Gee_cut :
Ruhaga mpena oyeeeee✊ WASUKUMA oyeeee✊😂😂😂😂🤣 hakuna MSUKUMA fala nyie msinibishie 🥺 si mliona ata Anko magu💪😰, viongozi wenye akili na utu wote n WASUKUMA fuatilia utaamini, sitaki kufokewa naumwa☹️😏
2025-10-24 06:35:08
94
princess Bella :
tunao angalia siku ya ijumaa tujuane
2025-10-24 05:16:07
1915
Son ⭕️f Man :
Freemason nacho si chama. 😳 Kigombee basi tuwe washua nchi nzima.
2025-10-24 02:27:57
511
Samia suluhu hasan :
ambao mnatiki tujuane
2025-10-24 11:12:36
19
God's favor 🙏 :
mtu anaeweza kujenga uzio ndan ya ziwa na kuweka mamba pemben mtaweza kuntoa ?🤣🤣🤣
2025-10-24 03:48:17
250
Man Selectar mtoto wa bibi. :
hiv kweli inawezekana kusimamisha uchaguzi
2025-10-23 18:48:41
153
jakrina :
umejiereza sana baba siwezi kukunyima commnts
2025-10-23 20:11:12
100
MR artwork officially 🛋 :
sifa ya kiongozi awe na akili ila huyuu ni 0
2025-10-24 05:20:09
36
Mama P🥰🥰🥰 :
mungu fanya lililo sahihi katika nch yetu
2025-10-24 12:12:28
23
duniayawarembo cosmetics :
kama hupigi kura 29 gonga like
2025-10-24 13:13:27
102
user9623617623348 :
Mama asingegombea angestaafu kwa heshima kubwa sana.
2025-10-23 19:39:55
28
trale22 :
kabisaaa uchaguz tanzanian hakuna
2025-10-23 19:07:04
330
baby :
Mungu wa Israel naomba uingiliye kt, utupe rahisi anae faa
2025-10-23 20:49:22
54
♐ :
mtu alienda Rukwa mwaka 1997 akarudi tena 1915 akubali uchaguzi usifanyike🤣
2025-10-24 07:15:41
80
solomon :
wenye wanasema mama arudi nyumbani jikoni apike chakula weka like
2025-10-24 10:42:30
12
martin :
wapuuzi uwezi kulazimisha lissu kuwa rais
2025-10-24 18:07:15
5
Theopister George :
majaliwa jmn jmn awe rais
2025-10-24 10:12:05
16
To see more videos from user @mikazo_.tv.360, please go to the Tikwm
homepage.