@nyevu13: #kenyagulftiktok🇰🇪🇧🇭🇸🇦🇶🇦🇱🇧 #followback #nyevu #mijikendatiktok

nyevu🥰
nyevu🥰
Open In TikTok:
Region: KE
Friday 24 October 2025 06:06:54 GMT
10483
193
115
2

Music

Download

Comments

rozyblessed
Rozyblessed :
mtu na akili zake Tano salary 28 k analipa shule 12 k na ajahesabu food 😂😂 ajui watoi wa waarabu shule n free 😂
2025-10-24 09:23:20
8
caroonyango4
💜 Carol💫🇱🇷 :
🤣🤣🤣wangu Wacha wakae public plus wako ushago Sina pesa ya kuaribu
2025-10-24 21:25:59
20
ellymumbi_isanda
Veen🧚‍♂️🧚‍♂️👸 :
mnaumwa na maisha ya watu. nani aliwaambia kila mtu anataka kuishi Kenya. let pple mind their bsns,
2025-10-31 18:08:24
1
user202018201
Bella 254 :
hii gulf inakata mtu hako high rzon capacity unless utakua maid for the rest of your life🤣weka 70%for your kid sijataja basic need at least a place where they will call a home sana kama wewe ni single mothers invest on your kids fast shule ziko za public zenye ni mzuri ni wewe ufwatilie mtoto wako na bado tuition ziko anyway Kila mtu afanye kenye anataka na mtoto wake kitu ya maana wasifukuzwe fees like the way we use to be😭
2025-11-11 12:52:42
0
humblegirl339
GeeGee HuMbLe❤️🇰🇪🇺🇸♐️♐️ :
50k per year hadi shopping pamoja na school fee,mtoto ni wewe ulizaa,weka mtoto wako venye unataka,aiii
2025-10-28 15:46:51
6
mom_shamim84
mom_shamim84 :
watoto munaona ugumu lakni munahonga mboro muchokonelewe vizuri
2025-11-11 09:14:00
0
tyler.mwangi5
Tyler Official🇨🇦🇰🇪 :
Welcome to canada 🇨🇦 life here is so good and plenty of job opportunities
2025-10-24 19:10:07
2
chase.19930
💖❣️Chase💗💞 :
isipokua mimi....mtoi wangu ako ocha na mamangu na ako shule ya public 😂😂😂😂
2025-11-12 23:36:00
0
nyevu13
nyevu🥰 :
matumizi yamepita mshahara🤣🤣🤣 ama mnadanganya wengine 🥺
2025-10-24 06:09:47
2
blackash731
blackash :
my dota will go to a private school akuwe akiletwa na basi vile aliniambia anataka..am getting her the best i can because i can,and investing in good education and exposure is one of them..when i could not afford tulihangaika sana..now i can why not?yes when i go up i elevate and speak grace and good things..and nobody will tell me otherwise
2025-11-09 21:48:39
6
faithtsgzck
kossy Ronny :
gulf inataka akili mtu wangu,haitaki kufurahisha society
2025-10-25 07:59:29
3
blessed6844
blessed :
kila mtu atumie pesa yake vile anataka
2025-10-25 08:38:24
10
rozelle708
Rosey wa nyambura :
😂😂😂😂pesa zetu zenye tunachokea mbona mtuadvice venye tutatumia sisi sote ni mara ya kwanza kuishi kwaivo tupunguze advice
2025-10-26 11:32:39
8
22sk_0
✨♥️ :
acha nicheke tu😂😂😂😂😂
2025-10-25 11:08:51
1
tryzah05
tryzah❤️‍🩹 :
wacha wangu akae tu private mm najua venye nilisuffer nikiwa hizo public😂😂😂😂
2025-10-28 08:23:09
12
natureoftheuniverse1
@kerubo riruma🇬🇧🇺🇸 🌎 🇰🇪 :
alafu wakirudi wanasota kuliko mama mboga😂msinikujie
2025-10-25 18:13:26
3
markhize8
markhize :
my community are pastrolists sijui nitapata wakiwa wapi
2025-11-09 17:28:02
1
joyner3344
joy334 :
so mbaka wenye tuko na watoto high school tusilipe
2025-11-18 12:09:57
0
terry_2542
🌸Terry🇰🇪Moraa🌸 :
Lakini mbona maisha ya watu inawahusu, kila mtu akae vile anataka mnaboo btw😂
2025-10-26 12:50:56
2
linda934
💜linda💜 :
Mm nae mtoto wangu awezi enda polling station, mwalimu alisomesha mama yangu akamishomesha tena mtoto wangu noooo.. I want my kid to experience better than I did
2025-11-12 11:54:59
1
miriis001
Mirii❤️S. :
wangu wako public but walianzia private naletewa exceed expectations 🙏🙏🙏🙏 God am greatful 🙏🏻. nilindie hao nijijenge nirudi tuishi vizuri 🙏
2025-11-06 04:55:37
0
9midoh
Miriam M.G.M :
wangu public and I'm ok😅
2025-10-27 14:31:42
0
a.com.123
lree :
😂imgn wewe ni single mom mtoto alipita ndio sikatai🥰mbona usitafutie mtoto sponsor hizi za bank ama kwa wakubwa🤣ju sasa wewe uko saudi unapata 39k ukaamua kupeleka mtoto hio national aliitwa bila kujali kusaka usaidizi😭sahii mtoto anaenda form 3 ndio waenda mbio kumtafutia mfadhili after umehome juya kichoka napia kukosana na boss hdi akakupokonya kila kitu😂. sasa wetu wako ushago hatuna stress tunaangalua vile huu mwezi tunafanyia shoping ya krisi next mnth niya shule😂😂.
2025-11-01 17:10:34
0
amandalizzy131
@amandalizzy13🇰🇪🇰🇬 :
Wangu ata ikiezekana university pia ataenda private hahaha ....pesa utatafuta na hazitoshi weka mtoto life pouwa jieke pouwa life is too short.
2025-11-19 11:52:18
0
dorcasngeci
@dorcas :
advice jiwekee nani,ukitaka maisha ya kawaida Rudi Kenya. Niko hapa ndio mtoto asome,tumeelewana
2025-10-31 09:44:53
1
To see more videos from user @nyevu13, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About