@qfk_motors: SAFARINI KUELEKEA BELFAST KARIBU KABISA NA IRELAND 🇮🇪 KUWAFUNGULIA DUNIA WATANZANIA NIMEPATA ORDER ZA SCANIA MBILI(2) KUTOKA KWA BOSS WANGU MMILIKI WA NEW LOOK INVESTMENT COMPANY LIMITED ANASEMA YEYE ANATAKA SCANIA ZAKE ZOTE AWE ANANUNUA QFK MOTORS KWASABABU TUNAKUJA WENYEWE FIELD KUZIKAGUA KABLA YA KUZISAFIRISHA KWENDA TANZANIA NIMEAMUACHUKUA NDEGE KWENDA FIELD KUHAKIKISHA NAMLETA GARI BORA YENYE KIWANGO CHA KIMATAIFA KABISAA TUPIGIE +255747140103 +255714140104