waizi wanauluzana maswali wenyewe kwa wenyewe.....haya ni maajabu
2025-10-25 00:33:05
29
KĂmɓŭ QŮåļīTỳ :
waswahili matako
2025-10-25 21:55:44
0
kind_hearted :
Gago hapo nyuma hata hajui kwaendelea nn
2025-10-25 08:33:57
5
alphatangobravo254 :
Watu wa Mombasa wanaibiwa na wanalala
2025-10-25 10:35:01
2
abu khalid :
hao MCA's wamefanya Nini wao kama wao? kama huyo shilla wa shimanzi amfanya Nini? Bure kabisa
2025-10-25 07:46:53
0
dianadvqziz :
waswahili wote😢
2025-10-25 17:15:31
0
Alameen :
mombasa country yataka gavana mpya huyu wasasa hajui maisha ya wanamombasa
2025-10-25 05:39:13
21
Kidevu Kidevu Hassan :
hii mungeligeuza maji ya chumvi yakatumika kwa mahitaji ya nyumbani
2025-10-25 07:05:38
2
mariomi88 :
Waende jela acheni drama...
2025-10-25 05:32:51
4
user 55556777 :
Ghana 🇬🇭 🇬🇭 🇬🇭 ndiyo kuna watu wa kubeba taka ☺️☺️☺️☺️huku kenya hakuna ☺️☺️☺️it's so funny 😆 🤣 😄 😂
2025-10-25 05:16:17
7
Nasir Nasir :
let this people step aside . This country is let us down . governor you must revist . For the benefit of Mombasa people . we are taking a note . this is our right we don't demand
2025-10-25 20:02:41
0
mejuly :
wote waende nyumbani,mombasa ni chafu,sewage membe tayari ni aiyibuu.
2025-10-25 17:54:19
1
Shaban Juma :
tatizo mombasa mwaikabidhi Kwa watu wasio wazowa watakuwa vipi na uchungu nayo
2025-10-25 07:28:59
3
Joysa :
wanaiba sana na Mombasa town yanuka kaa Nini.
2025-10-25 09:11:22
3
Abu Shiri :
wahizi nyote nyinyi kwendeni zenu pr tu hizo
2025-10-25 04:14:58
9
PRIVATE LIFE :
But problem iko Kenya wale wanaoukwa na scandal kama hizi ndio wanaopendwa na wananchi kwa ground na hata wakisimama kwenye uchaguzi wanachaguliwa na hata wakishikwa na eacc watu watafanya maandamano waachiliwe so hata kama wewe ndio umeiba hizo pesa si ungegaka tu kuendelea kuiba pesa
2025-10-25 05:33:46
3
Chiddyboy :
Hao wote washakula pesa ila wamedhulumiana sasa chuki imetanda
2025-10-25 10:15:32
2
abuu77777 :
yani kampuni ya kubeba taka hapa kenya hakuna mpaka itafutwe Ghana? mwisho mutaleta county inspectorate wa kutoka nigeria
2025-10-25 20:03:20
0
mohamedidris149 :
wanaleta ufukara Mombasa
2025-10-25 16:38:46
0
kelle :
this are greedy MCA's,they've nothing questions,they only demands for share...but it's unfortunate...no scandal so far.
2025-10-25 03:53:26
7
halimaa301 :
wote waarabu 😳😳😳 twaijua hio
2025-10-25 12:00:09
1
unbotherd :
I'm seriously hurt and disturbed how the cou ty servants think it's ok to just take away so much money from the public even the fact that it's ailing. look at the public schools and hospitals... they should all be arrested
2025-10-25 08:39:25
3
Boblove :
17 bilion what bulandaaa🔥🔥
2025-10-25 16:55:57
0
lovely lady :
waizi wote hawa
2025-10-25 06:14:04
1
To see more videos from user @jabondo12, please go to the Tikwm
homepage.