@tino_laizer: #siogopi

Tino_laizer
Tino_laizer
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 24 October 2025 14:25:59 GMT
591185
29530
1596
4298

Music

Download

Comments

user5763865307511
tiger :
tutakao enda kukomboa Nchi yetu tujuane kwenye like
2025-10-25 07:07:39
422
raji_melodytz
raji_bway_tz🎤🎧🎸 :
haya majamaa kumbe yamepania kabisa wakati sisi tulikua tunatania tuu jaman😂😂😂
2025-10-25 04:56:46
1205
jofreyjoseph45
dogo jofu🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
kama unamuogopa mungu like hapa 🥰
2025-10-25 17:47:41
8
charsmseki
La chars. :
nitahakikisha naendesha hayo magari🤨
2025-10-24 18:39:50
1135
captaintesha1
CAPTAIN TESHA :
usiwauzie wananchi uwoga
2025-10-25 05:10:31
78
shimjohy
john shayo :
Ata walete vifaru lazima niandamane
2025-10-24 17:58:30
429
thatgirlwinkie
Winkie💕 :
Hiii ivi hawa wanadhani tulikua serious😂😂😂😂💔
2025-10-25 07:04:12
211
user595168801
user7583884390425 :
KISHINDO CHA WAKOMA KILIWAKIMBIZA WASHAMI NA MAGARI YAO NA VIFARU VYAO 😂😂😂😂 NYUMA HATURUDI MPAKA KIELEWEKE
2025-10-24 20:42:55
69
oil.chafu45
OIL CHAFU :
watanzania nyinyi ni waoga sana semeni sisi wakenya tuje tuwasaidie
2025-10-25 04:51:54
79
riga2964
@Riga🎭🎭🔪 :
kwani mama hajui utani amaah🥺🥺
2025-10-24 19:28:52
62
ajbodycream
AJ PRODUCTS :
Mbona tunatishwa sasa
2025-10-24 18:06:41
275
wander.tz
Wander Tz :
Yaaan tareh 29 nkirud na gar moja kama hilo nymbn naomba nisiulizwe nimelitoa wap 😂😂😂
2025-10-25 08:30:56
84
chambo471
DRAMA BOY 💫 :
Skia sasa anko kuna shpapy imepanda boda boda nipe namba yake😂😂
2025-10-25 05:54:16
2
shoepro_
SHOEPRO🛍️ :
Kwani huwa yanaenda wapi?😂😂 mbona siku ya tatu Leo hayasimami?
2025-10-25 10:28:17
13
asam99pr_sa
Asam99p R_sa :
ila Katembo 😂 tulioiona hii video jumamos tujuane kwa like hapa 👇
2025-10-25 07:55:56
27
eliagodfrey341
mi hellen :
samia kumi tena
2025-10-24 18:21:41
47
ink56712
ink💕 :
kumbe magari ya kuigiza zile movie yapo na tz ni vile hatujaamua tu😁
2025-10-25 05:19:28
40
user9410669616062
Raphael :
tutakao kaa ndani toka jumatatu tujuane
2025-10-25 07:03:00
20
ushindprotas0
lamar💫 :
October 29 ukipigwa risas moja unarud nyuma na wengine wapgwe tusiwe wachoyo jamn 🤗🤗
2025-10-25 05:30:39
46
miss.cornel5
~Cornel🦋💟 :
Mpaka nitaendesha hayo magari😂😂😂😏
2025-10-25 06:55:18
25
saimoncaterpillar
Saimon Caterpillar :
hata watembeze vifaru barabarani tutatoka tu
2025-10-25 08:27:47
8
doxnaah
D⭕❌ NAAH VIATU :
ilo gari la 3 la kwangu nimeliwahi
2025-10-25 12:28:07
2
kim_smile28
Majeed_Kim🍁 :
Khee imekuwa kama Mad Maxx sasa😂😂
2025-10-25 16:26:29
2
aniphashadrack961
Anipha :
me mwenyewe nitaenda kwa shangazi yangu kizuiyani
2025-10-25 05:19:05
4
ericqayl
ericqayl🇹🇿 :
Raia wa Tanzania tunawatia hasara serikali hii🤣🤣🤣haiwezekani serikali imekopa tena kukodi magari na jeshi la nje kwajili yenu afu ndo msitokee kwa maandamano 😜😜🤣haitokaa sawa
2025-10-25 07:41:29
10
To see more videos from user @tino_laizer, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About