Na kujoin Alshabab ni rahisi juu hakuna pesa utatoa😂
2025-10-25 18:32:10
69
black :
nikikamata mkenya yoyote namdinya 🤣🤣🤣🤣
2025-10-25 17:29:32
2
Hussein🇰🇪 :
Bora tukikutana huko ground hakuna kisurrender ukisema wewe ni cousin 😂😂
2025-10-25 10:30:46
12
STEPSON 254 :
shida ni alshaabab goes for the innocent with no training no weapon just their faith yet wenzao ambayo wako trained na wako na weapons kama wao wametulia to Kwa kambi ama ju wanakuanga na spirits za vita na kuua lakini ni waoga facing reality
2025-10-25 17:04:13
4
Ally_علي ⛎ :
Uzuri zote ni military 😂 shida moja ni Ruto ingine ni Duale 😂😂😂
2025-10-27 07:23:13
9
Goom Skoom :
mbona kdf inakaa ex wangu..
lakini bado hatuogopi msitujaribu pia nyinyi
2025-11-02 06:29:08
0
Conq Saltiva :
alafu ufanywe suicide bomber, 😂😂
2025-10-25 21:01:18
2
VENOM MUDZO :
sawa enda ujoin bt this time round tukipatana kwa ground tunakudinya akuna ati tunakuachia gava
2025-10-27 17:33:01
0
Stone karis :
hii ndio akili unatumia daily
2025-10-25 08:17:35
46
Tinga Gift :
Hii ndio shida ya kukuwa na freedom nyingi kwa social media
2025-10-26 06:41:41
0
user7996619460516 :
unajoin Alshabab unaambiwa ukuwe kamikaze ujilipue Kwa crowd😂😂😂utawezana
2025-10-25 12:54:33
22
David black :
sawa,ulisema unatoka area gani hiii kenya
2025-10-25 19:40:26
0
David Meja :
be carefull unaezataftwa na subaru hio post?????chunga sana
2025-10-27 10:27:31
0
🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 moo🇰🇪 :
plan B
2025-10-29 06:48:12
0
BREAKTHENICS_THENIX :
Shida ya al-shabab hawana mission kazi nikuuwa tu kifala... sai wamezimwa😂