@jifunzenamaalim: #viral_video #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #zanzibar🇹🇿 #siasatanzania100k

HEKIMA ZA MAALIM SEIF💥
HEKIMA ZA MAALIM SEIF💥
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 28 October 2025 11:47:08 GMT
166121
2973
415
439

Music

Download

Comments

ahmadjuma2233
Ahmad :
hawatukomoi njaa ikija inatupiga sote
2025-10-28 13:05:42
192
ibrahimabdaalla79
Ibrahim Abdaalla :
hahaha hii ndio ccm tutashinda mchana kweupo tutashinda kwakishindo 😆😄😄✅🥷
2025-10-28 16:03:44
16
mamamuu.ali
Mamamuu Ali :
Allah ndie hakimu wa haki,hatakuwa salama kila alieshiriki dhulma hii.watakuja juta Kwa walichokifanya,dunia ni mapto
2025-10-29 07:15:11
0
t_kamazari
Kamazari :
Vitoto vidogo vya shule vishavishwa 😂 nguo ati vikosi😂
2025-10-28 17:58:25
1
chally2024
sunrise motor bike :
duh ni lini hii zulma itaisha tushachoka wazanzibari
2025-10-28 14:35:03
54
misszanzibar2
MISSZANZIBAR😍 :
Kwa hii dhulma hatuwasamehe mpaka kiama wote mulioshiriki
2025-10-28 19:25:27
11
chenywhite_art
cheny white :
Kwani hichi kikosi gani🤣
2025-10-28 17:29:04
9
chamama071
chamama :
mbona watoto wengine
2025-10-28 15:25:27
11
ommydyzo_3
Ommy dyzo_3 :
huyu mshakji mweusi, nmesoma nae na nakaa nae mtaa mmoja, na nawajua mpka wazaz wak, sjawah kuskia kwamb yuko kikosi😅😂
2025-10-29 04:41:50
7
user9421853045533
Kombo ndevu :
hawa sio askari wameviswa tu hizo nguo
2025-10-28 12:10:34
49
alrshm.reception
Alrshm Reception :
vijana viza za wazungu zipo nyingi sio kisiwa cha kuishi hichi
2025-10-28 17:36:23
2
user6001735465232
nadya :
hao ni wanafunzi ndio mna wakachukua njia ya ujanja wa mavazi
2025-10-29 04:28:36
1
majara199
Hamis :
hakuna marefu yasiyokuwa na ncha yatapita tuh😭😭
2025-10-29 07:14:59
0
samiasuruhuhuser3822
Samia suluhu hasan :
naombeni kula wana CCM
2025-10-29 06:56:39
3
adamu.adams73
أبوسعد :
acha walinda nchi watekeleze haki yao
2025-10-28 16:29:00
0
oshkc
OSH :
mushanitia uvivu niko njiani kuelekea kupiga kura lakini naona bora nirudi nyumbani.
2025-10-29 05:47:56
0
user3420178530651
user3420178530651 :
vitu vyakawaidabtuhivi kwetu tumesha zoweya
2025-10-29 06:50:12
1
sleymanahmed604gmail.co1
sleymanahmed604gmail.co1 :
mbon watoto sana lakin
2025-10-28 17:46:30
2
ericsebastianchan
Eric Sebastian (CHANCELLOR ERI :
Hiki ni kikosi cha Zima moto cha zanzibar😂😂😂
2025-10-29 04:37:05
1
abdul.majid8749
Abdul majid :
Allah atawalaani kila aliechangia wizi wa kura tusipopewa hapa wataenda kutulipa kwa Allah
2025-10-29 04:08:09
3
bin.dawood.zijiba
bin dawood zijibar :
wote hao wanampa mwiyi usikute hapo wengine hata hawajajiriwa mtihani kweli
2025-10-28 13:46:53
5
lyela032
Lyela🥰🥰 :
Hicho kitoto kina piga kura
2025-10-29 01:33:09
2
mgz2023
Mg_2023 :
hili kikosi gani???
2025-10-28 17:31:43
0
iliasmahsab
brown :
ikesha nigaie buku
2025-10-28 15:31:36
3
mo_giroud06
Mosalah12 :
baadae wapite Misikitini wahubiri Amani yeye mwenyewe dhalmu na anajijua,Allah hakiim
2025-10-28 12:56:09
13
To see more videos from user @jifunzenamaalim, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About