@mtonyawakala: AINA MBILI HIZI MAWAKALA WENGI ZIMEWALIZA/WEWE ZISIKUPATE

mtonya wakala
mtonya wakala
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 28 October 2025 20:48:14 GMT
57805
1899
93
291

Music

Download

Comments

jinakubwamwilimdogo
𝐌𝐀𝐍 𝐊𝐈𝐒𝐀𝐓𝐔 :
umaskin kwaheli 😂😂😂😂
2025-11-21 19:59:54
5
losblancosfc2026
gasper nassib :
hata usipo wasipo rudisha muamala kuna mobile app sahizi zinatoa pesa😂😂😂 hata line isipo kua kwenye simu
2025-11-05 21:03:21
9
salimogbossmtototz
Salim Og Boss MtotoT :
mnao tumia vpn kuingia tiktok mnakesi ya uhauni😂🔥
2025-11-15 08:31:11
0
kingkhantz
@Khan :
jitaidi kufupisha maelezo unachosha maelezo kujirudia
2025-11-05 19:08:55
4
hukupesa2
huKupesa2 :
ahsante broo
2025-11-21 07:52:33
0
hf14fitness
Ms Angel 😇 :
Sheria nyingine marufuku kushikwa simu ya mteja
2025-10-29 00:15:10
17
cathygeoff
cathygeoff :
Inamaana muamala unarudishwa muda huohuo!?
2025-11-11 16:29:14
0
kishamba255
victor shirima(kishamba) :
hiyo ata kama n mm naibiwa tena kizembe
2025-10-29 05:43:35
8
mwanahamisikassim3
De Millan official.. :
ahsante sana , duh kweli umeweza
2025-11-23 06:13:46
0
user707361694065
️ :
kazi za watu
2025-11-09 16:41:47
0
bussinessofficer
SAMMYYYYY :
hujatoa solution
2025-10-29 04:05:39
1
kenanmligo
Kenan :
Ahhaa😳hapo nilikuwa naibiwa kabisa
2025-10-29 06:22:12
2
mwitamarato428
Mwita Marato :
kaka utaftaji unamitihani sana daaah
2025-11-23 05:28:04
0
gabrieli.9
𝗚➪𝗜𝗡𝗩𝗘𝗦𝗧𝗠𝗘𝗡𝗧💰 :
𝕊𝕒𝕙𝕚𝕙𝕚👍💯
2025-10-29 04:45:39
2
neseriani255
.. :
kama ujawai fany kazi ya wakala uwezi muelewa huyu brother
2025-11-03 12:43:34
11
vannilla_fans
Hansperez :
ndio maan biashara ya miamala siwezi kuja kufanya na sitafanya mimi mjukuu wa clemence mwandambo 😂😂
2025-11-10 10:59:28
1
borntosufferofficial
Love my self :
achana na kurudisha mhamala, anarenew laini anakuachia simu na kasha la laini😂😂
2025-11-04 18:41:46
2
khalfan54
王老师 :
Unatoaje pesa kabla..?ATM enyewe huanza kutoa kadi kabla ya pesa
2025-11-23 09:14:36
0
atubrown6
atubrown :
hii ilinikuta mimi laki 4 yangu 😭
2025-10-29 05:55:27
4
hemed.mohamed03
hemed mohamed :
unadhamira ila maelezo marefu boresha kucheza na muda
2025-11-18 22:33:39
0
mc_papilito
𝐏𝐚𝐩𝐢𝐥𝐢𝐭𝐨💎 :
Laki 4 bhana 😁😂
2025-11-04 14:09:44
1
johnsonfrank99
johnsonfrank99 :
tuko biz na misiba ya nchi😓
2025-11-04 02:01:43
3
shebyzowaleo
Shebyzo Waleo :
10/10 twende apa
2025-11-12 21:25:11
0
mussasimba2
tina :
shida video yako Ina kelele kwel khaa
2025-11-06 16:49:04
2
userfidiq
MENTOR FALIDI92 :
Umetisha kaka
2025-11-09 13:22:33
0
To see more videos from user @mtonyawakala, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About