@bbcnewsswahili: Hali ilivyo katika eneo la Kimara Kibo, umbali wa kati ya Ubungo na Kimara, wakati huu wa uchaguzi mkuu unaoendelea Tanzania. - Maandamano haya yanayoshuhudiwa ni sehemu ya mwitikio wa mitandaoni wa makundi ya wanaharakati na vijana wakitaka mageuzi zaidi ya kisiasa nchini Tanzania. - - - #tanzania #uchaguzimkuu2025 #bbcswahili #foryou
bbcnewsswahili
Region: TZ
Wednesday 29 October 2025 07:46:49 GMT
Music
Download
Comments
@Nahshon :
Larry Madowo❌
Rally Mandondo✅
2025-10-29 15:06:10
24
_njookey :
Viva Tanzania, power to the people 🇹🇿
2025-10-29 10:32:32
71
Gen Z 🇹🇿 🇹🇿 :
tumepambana vya kutosha
2025-10-29 20:41:26
0
user3213991960943 :
grand finale ndio imenichekesha
2025-10-30 02:13:35
0
joel nduhiu :
kumbe tear gas inaitwa mabomu ya machozi😂
2025-10-30 00:54:59
0
Boy Gumite :
Mwongeremu kumanyi sana wewe, tukoye ba dictator mu Africa. Uganda is next, we are removing a dictator 😌
2025-10-29 22:22:53
0
BRITA.. :
ati mabomu ya machozi🤣🤣🤣🤣ndio tear gas izo
2025-10-30 00:21:00
0
Dante 🇰🇪 :
wewe na wewe songa huko, unaogopa Nini nkt!
2025-10-29 20:29:51
0
shazima🇰🇪 :
kazi nzuri...tujuze moja kwa moja🥰🥰🥰
2025-10-30 00:35:34
0
Olala Elvis :
Sisi Wakenya tukiskia kuna strike tunambao 😂😂😂
2025-10-29 20:32:53
0
🎀✨Lucy ✨🎀 Dianna 🎀✨ :
ingieni parliament ndio we talk 😂
2025-10-29 16:08:20
1
mr nobody :
sasa huyu ni Larry madowo wao
2025-10-29 08:17:22
2118
Da hawa💫💫 :
Wangapi leo hawaendi kupiga kura wapo nyumbani wamelala
2025-10-29 07:54:27
1935
Deeh🦋❤️🔥 :
tunaoandamana kwenye simu tujuane😂😂
2025-10-29 07:52:07
1469
arteta :
hii ndio maandamano ya Tz😂😂😂
2025-10-29 08:18:53
497
𝓶𝓪𝓵𝓸𝓷𝓮 :
Larry madowo wa lipa mdogo mdogo
2025-10-29 11:35:00
592
Humble :
Africa is in election chaos untill 2027 waiting for the grand finale in kenya🤣🤣
2025-10-29 11:46:49
221
Msonjo mjanja :
Ni teargas unaita Mabomu ya machozi😂
2025-10-29 10:52:28
276
sharkstarsswimingclub 🦈 ✨ 🦈 :
kwani hizi teargas za tz hazina nguvu😂😂zinatoa moshi kama sigara😂😂
2025-10-29 09:10:25
189
Maua :
Nimepita Mwanza na Geita vituoni wasimamizi wako nje wanaota jua tu😂😂😂
2025-10-29 08:22:46
156
shoo :
does it mean the work of police in Africa is to defend dictatorships
2025-10-29 09:48:30
183
MedTalks 🧑⚕️ :
tumechoka kuongozwa na viongoz vibaraka wa magharibi😢😢
2025-10-29 07:53:10
76
Salmanfastest :
tupo pamoja Na mama samia oyeeee kumi tena 💪💪💪💪💪💪
2025-10-29 08:12:29
56
niffermoha :
mange naskia kazimia mara 20 watanzania wamemsaliti😂😂😂😂😂
2025-10-29 08:26:53
46
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2025 TikWM. All rights reserved.