@limitless.media.ke: Police have been overpowered by Gen Z protesters in Tanzania, and the military has been called to assist…. #v#viralvideov#viraltiktokv#videot#tiktokindiat#tiktok#kenyantiktokers#ohanglamusic#politics#maandamano#kenyancomedy🇰🇪
Limitless Media Ke
Region: KE
Wednesday 29 October 2025 09:34:35 GMT
Music
Download
Comments
Joan lammy♥️💯 :
Sasa wanaimba wantam aje in Swahili?
2025-10-29 10:29:55
79
Jonazz :
Tanzania wameanza kuchanuka nowadays. Thanks to Kenya 🇰🇪
2025-10-29 10:02:29
139
toxin_brain :
yani samia ako pekee yake zi zii 😅😅😅
2025-10-29 12:19:34
1
Prince safrom :
Wanafunzi wetu hawa.. So far 15%. Performance...
2025-10-29 10:47:48
12
@PRACHI :
Nko huku Tanzania guys...One Term siku zote😂😂
2025-10-29 09:40:40
588
Max :
Tanzania are way better than us. We are violent, chaotic, lacking ethics, tribalism!
2025-10-29 11:43:46
9
UNCLE WA MAMITOTO :
Huku Tz tunasema muhula mmoja kumamaye😅
2025-10-29 10:02:15
61
@richykims#78# :
nko hapa Arusha ,mambo n kalakalaa
2025-10-29 11:32:35
9
jamoh14 :
nimesikia wakisema "muhula mmoja" (wantam)😂😂😂😂😂
2025-10-29 11:12:05
15
Oscar🧊🏆 :
wanataka suluhu lakini hawataki Suluhu. elewa
2025-10-29 12:19:43
4
Natasha💕 :
eti Samia vs who😂
2025-10-29 11:47:25
3
️ :
nakumbuka akisema kwake kuna amani,,,kwani what happened
2025-10-29 11:41:04
12
ML :
muhula mmoja kumamaye
2025-10-29 11:34:14
6
Inkredible subzero :
STILL SHE WILL BE DECLARED PRESIDENT...SADLY
2025-10-29 09:38:26
127
Diana Weightloss :
but hawa protesters hawafiki hata 500. watz ni waoga
2025-10-29 10:16:17
18
Hillary~Bossie :
suluhu amekosa suluhisho was,,ni bulandaaaa bulandaaa
2025-10-29 09:47:42
14
Kadude Kdull :
suluhu anaenda home🤣
2025-10-29 09:41:42
68
robin! :
nowadays tuko influential 😅😅
2025-10-29 12:17:05
1
Nillan😍 :
Suluhu Muhula nusu😂😂😂
2025-10-29 10:44:03
2
princes of Africa 🌍 :
wanafunzi wa Rao tusha wasili 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
2025-10-29 11:23:36
1
blessia nyaemz :
bulandaaa😂😂😂
2025-10-29 09:40:06
3
FrankEpitome :
😹😹😹Ya Tz ni ya Amani
2025-10-29 09:38:03
9
𝑬𝒓𝒆𝒈𝒆 :
mara moja😂😂
2025-10-29 11:34:56
1
judge🇰🇪🇷🇼 :
bro kwani unapitiaga kwa jonte puff mbili ndio ufike huku ama niaje😅😂🤣😂
2025-10-29 10:16:15
0
Moh💖 :
mnasema our students are graduating 😂😂
2025-10-29 11:25:11
1
To see more videos from user @limitless.media.ke, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2025 TikWM. All rights reserved.