@kghf323:

kghf
kghf
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 29 October 2025 18:26:41 GMT
1228553
36460
410
1235

Music

Download

Comments

ability004
ability004 :
🤣mnataka kushindana na serekali goma limeanza kwenye kuzima internet alafu mwendo ni silent killer 😁
2025-11-03 15:21:16
204
akhi_.julaibib
akhi Julaibib :
watanzania mbona hamjaenda state house na wcb😥 sijapenda!!
2025-10-30 03:08:51
301
gtinz5
Dkt. Samia Suluhu Hassan :
Msiige viumbe wa ajabu kutoka Kenya. Kuweni watulivu kura nitashinda
2025-10-30 06:55:52
17
elysian_6666
Elysian :
wametukataa hawa Nina hasira kinyama yaani tunapigwa risasi kama sisi sio watanzania 😭😭
2025-11-03 16:51:46
56
jobfire2
Jobfire seven :
Afu baadae ikawaje?
2025-11-03 18:29:04
12
abu.huda05
Abu Huda :
mnataka nchi ichuliwe na.Jeshi ??
2025-10-30 04:04:39
11
kipara383
kipara :
kumbe kila kitu kinawezekana Mimi ni wakuka siku sita bila kubeti 😂😂😂
2025-11-03 16:38:08
11
kibabloodfan28
Champion Boy +254 🇰🇪 🇹🇿 :
Soldier tunae na tunatamba nae
2025-10-29 19:51:13
158
liam.galeni3
Liam Galeni :
mwanajeshi wabei yahalaka 😃😂😄😁
2025-10-29 21:52:53
12
paschalhaishi3
DIMBANI MICHEZ⚽ :
Msiwaamini wanajeshi ni vigeu geu mmeona mlivyokufa
2025-11-03 18:46:01
12
juxpose
Am Jacque🦋🦋 :
Huyo anayeimba jmni 😂😂😂😂
2025-10-29 23:59:32
74
thomas.ngemo
Thomas Ngemo~shopify.com :
Kwani huyu si anafaa hata kutuongoza kwa mwaka tu au🤣😂
2025-10-29 20:33:42
45
mrfeysalphonemaster3
Mr feysal desix phone master :
😂😂😂 hawa wameapa jaman kuchange fasta tu
2025-10-30 20:23:23
2
sabraham62
Abraham :
Video za uwongo
2025-10-30 06:29:20
1
user6839566609657
ALL MAHTOUM :
mkitak mistake mama mitano Tena kma hamumtaki vunjeni mungano
2025-10-30 21:29:25
7
donovanmontanaofficial
Ððñðvåñ mðñ†åñå :
wanajeshi wanafiki bhn sio siri baada ya miamala kusoma tu 🤣 🏃🏃
2025-11-03 19:23:39
0
user8226163346538
akshara🇹🇿❤️🇴🇲 :
Ngoja na mm niingie jeshn nishangiliwe kama hivi🤣🤣🤣🤣
2025-10-30 05:58:03
1
user482439644
Emmanuel :
SAMIA MAST GO
2025-10-30 12:58:36
8
momy.abdul10
Momy Abdul :
alikuwa anajihami anasubir wahuni wafike baada ka kufika mulimuona😂
2025-11-10 13:31:36
0
badgalnicki
badgalnicki :
After few moments later😂💔
2025-11-04 08:46:18
0
igaufe135
iga ufe :
serikali inasema siyo watanzania
2025-11-04 08:22:44
0
daniel_paulo12
Daniel Paulo :
...nilicheza game 🎮 zote kwa cm yang. nikisubir internet ifunguliwe
2025-11-03 16:46:08
5
aboukkk44
kkkkk :
tena akiwepo ndo utachukuwa nchi acha ufala
2025-11-03 18:10:09
0
user2704850842707
dorissteven :
Mwanajeahi alikua anawauz bila wao kujijua😂
2025-11-03 17:56:29
1
kidumo2
Kidumo :
hawana lolote watu wengi wameuwawa kama kuku mi nimewashusha thamani bwana
2025-11-04 07:38:04
0
To see more videos from user @kghf323, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About