@padri_u18: mabox ya kula tumebeba tumevunja na kuchoma moto WANATAKA kutangaza matokeo Gani😭 wakithubutu tunaandamana uchi bila nguo #mo29 #uchaguzi2025 haguzi #roma #mange #maandamano

Rostaja padri
Rostaja padri
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 30 October 2025 12:51:26 GMT
333338
14027
385
1394

Music

Download

Comments

qnxao11
🦋qnxao🦋💥 :
Mnasema zuchu king’ang’a mna mjua samuya kweli 😂😂😂😂😂
2025-11-03 14:57:48
495
baby4real03
BABYOFBEBES ❤️ :
Tunaoangalia baada ya mtandao kurudi like hapa 😂😂😂
2025-11-03 15:04:29
1029
cuteidar
Loml💘❤️ :
😂 NAITWA SAMIA HAMJMBO
2025-11-05 12:10:29
1
tissy0501
tissy🦋👑 :
Who’s watching this on Monday night with an empty stomach can we be friends🤣🤣
2025-11-03 18:32:57
31
mesh_solz
Mesh :
Kura milioni 31 kmmk
2025-11-04 11:08:25
5
lovelee81658
lovelee :
hawa nao wanataka mtandao ukate tena 🤣🤣🤣
2025-11-03 16:48:08
49
r.hd24.06853287ipty
💌ipty🥰🥰🇹🇿🌹 :
jamn me mkibeba Ivo nafurah 🤣🤣🤣
2025-10-30 18:00:21
14
hunkchocolatkid
Hunk Chocolatkid III🇺🇸👑 :
😅😅😅ni ballot paper sio kula🤔🤔😅
2025-10-30 18:33:22
11
advancetz2021
AdvanceTz :
Mnaweka sura watawatafuta..msiweke sura
2025-11-04 05:53:37
0
ussiussi8
ussiussi8 :
wizi tu nyinyi wa maduka
2025-10-30 17:49:11
7
miggokidd7
Miggokidd7 :
Tunaotazama baada ya mtandao kurud tujuane apa
2025-11-03 18:20:48
41
wizo636
mr mob :
uchi bil nguo
2025-10-30 18:51:45
3
ecoj21
ECOJ :
jamani Hawa wazima kweli namaanisha hawajafa😭😭kama ni wazima namshukuru Mungu
2025-11-03 19:15:24
8
raybeib09
Rayma :
😂😂😂 We ronaldo ww unamwanasheria 🙌🙌🙌
2025-11-03 15:56:42
3
mahrez4292
Mahrez :
Unazijua NIDA
2025-11-03 16:43:13
2
shizzo_code
Shizzo_Code :
kwa heshima kak.
2025-11-04 22:02:52
1
cappuccino.mololo
cappuccino mololo :
Hadi ww😂😂😂
2025-11-05 08:12:38
1
user5808812378160
E.K :
mabox ya kula ndio food boxes? ballot boxes??
2025-10-30 21:02:49
2
jojasa48
jojasa :
hakuna kutangaza kmmk
2025-10-30 17:50:52
2
chief_batto1
Gianna❤️🔐 :
Yaan huyu mama sijui anang'ang'ania urais kwasababu gan hatulitaki kwanza ashakua ajuzaaaa😏
2025-10-30 19:44:57
12
shakira.ramadhan425
Shakira Ramadhan :
mungu zidi kutupa ujasiri mpaka tutapo pata haki zetu
2025-11-05 07:50:15
1
haneefah_7
Haneefah 💫 :
Mungu awalinde Vijana 🙌🏽🙌🏽
2025-10-30 17:41:20
21
user607627575
user6207311312539 :
safiiiii sana 🥰 much love from Kenya
2025-10-30 19:15:20
5
herezon369
👊don't spy my life🫵🫵 :
mmetisha kwa kweli 😂😂🤣🤣 hyuu mama ajiuzuru tuu watu wache kuandamana
2025-10-30 17:26:00
26
witty.leonard
Witty Leonard :
mim kama raisi samuya nasema rudisheni mabox ya kula kabla hamjachukuliwa hatua kali
2025-11-03 16:47:50
2
To see more videos from user @padri_u18, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About