@a.mmediake: ''Wewe Mama tunaja Tanzania..'' Kenyan Gen Zs vow to cross the border into Tanzania to help their brothers and sisters in demonstrating.

A.M Media
A.M Media
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 30 October 2025 19:08:47 GMT
314387
27866
1152
418

Music

Download

Comments

hulkshafik
hulkshafik :
huyo wa gunia ndio mjanja😂😂
2025-10-31 06:16:54
215
gtinz5
Dkt. Samia Suluhu Hassan :
Endeni nyumbani, nawapenda wanangu
2025-10-31 01:22:54
140
fridahmwaka2
winfridah😇😇😇 :
hakuna haki hpa aisee😅mpinzani aachiwe huru aisee😀
2025-10-31 10:43:11
3
emmanuel.molell
Emmanuel 🇹🇿🇰🇪 :
Hawa ni wakenya haswaaa
2025-10-30 22:55:27
1232
everlyneohuru641
Everlyneohuru64 :
huyu ni 🇰🇪, cheki😆😆
2025-10-30 21:19:31
1526
cate7192
cate :
yaani wakenya mshaenda kutoa masharti kwa wenyewe
2025-10-31 02:07:11
73
lucyl0056
Lucy✨💫💞💞 :
Yaani wakenya ndo wako na hasira zaidi ya watanzania 😅😅😅😅
2025-10-31 07:31:31
42
petty.precious7
Janty Pretty :
lakini hapo Kwa tunaja😂😂 kidogo nimekwama😂😂
2025-10-31 00:53:14
401
ethangift12
Ethan 💜💜💜💜 :
life is so private that no one realises that Aisee n mkenya😂😂😂
2025-10-31 09:50:57
5
mamapofficial2
mamapofficial2 :
Mkenya umeenda kuwasaidia majirani 😹😹
2025-10-30 23:35:15
21
user90_069
User_94_0 :
Ukiguza comment yangu nakuitia mechi 🤭😂
2025-10-31 05:55:47
28
just_max66
just Max 🇰🇪 :
adi wakuu wamejifunza kiswahili ya kitanzania🤣🤣
2025-10-31 08:23:59
8
fyne_tattoo
Fyne_Tattoo EA🇰🇪🇺🇬 :
Aisee huyu ni wetu jamani🇰🇪😂
2025-10-31 07:38:42
12
mrs_masaka
♥𝕸𝖗𝖘.𝕸𝖆𝖘𝖆𝖐𝖆♥🇰🇪🇺🇲⛎ :
Huyu naye ni wetu aisee🤣
2025-10-31 07:41:14
216
lucypinky06
lucypinky06 :
Hii ndo sheng ya TZ 😭😂😂😂😂
2025-10-31 06:29:54
56
swafiyah001
sophisticated sophy :
Tunaja🇰🇪😂
2025-10-31 00:05:03
179
mohahire0
Aided bishar allan :
huyu ni mkenya
2025-10-31 06:03:56
56
g.mam7
g mam 💞 :
wakenya ndo mmekuja kuchoma nchi yetu
2025-10-31 05:30:36
3
nyangoso5finest
Essykwamboh :
tunaja ama ni twaja😂😂😂
2025-10-31 09:51:57
2
sophsawo
Sophy Sawo :
Wee Mogaka Rudi home
2025-10-30 21:01:35
394
karman_symprose
🌸SYMPROSE🌸 :
huyu ni wetu macuzo😂😂
2025-10-30 23:24:08
102
sawemaggy
Sawe🪄❤️👑 :
Kimani Rudi nyumbani tafadhali 😂
2025-10-31 09:56:05
9
cessnyms07
Cess Nyms 💕 :
Kiswahili chenyewe nicha kariombangi my Kenyan people 🤣🤣🤣🤣🤣
2025-10-31 09:29:33
3
unclewaswiti237
uncle wa switi :
quarter final Tz 2025, semi final Uganda 2026, FINAL KENYA 2027 ,😅😆arooh
2025-10-31 08:10:18
16
qwert_vbn1
qwerty_vbn :
uyo wa gunia ni mjanja
2025-10-31 02:03:56
2
To see more videos from user @a.mmediake, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About