my mum huwa ananiambia huku nyumbani pia kimeumana,just fight like a soldier
2025-10-31 22:16:12
245
Wambui❣️ :
na wale hatuna wazazi tunaenda wapy🤣
2025-11-02 17:25:43
0
@Kensuf :
alafu sasa Kuna sisi hatunanga nyumbani 🤣 ipo siku🤲
2025-11-02 17:51:32
1
her_highness👑 :
heri nyinyi aki wangu aliamua kutangulia😭
2025-11-01 00:05:06
85
Mercy B.❤️❣️💋 :
no mom,no father, no siblings 😭😭😭😭😭💔💔💔
2025-11-01 15:10:02
51
bonareri :
😭😭😭😹homa kidogo unaskia kuja nyumbani nikupee miti shamba
2025-11-01 02:28:09
17
iconic :
wenye tuko nao lakini tunajua vizuri sana hatuwezi skia such words tukae wapi
2025-11-01 07:10:06
32
Big jazz254 :
I remember 2023 ,my mum trusted me with 75,000 for her business and I used it gambling (aviator),sa ilibidii nihepe home nikakaa for like 3 days with my fon on airplane mode ,nikifungua ananiambia just come home son ,tumeachia mungu,itakuwa sawa, akilia at the same time ,I'll never forgive myself for that 😭😭
2025-11-01 16:46:52
46
Rinah Audrey :
My grandma🥺🥺
2025-10-31 19:43:22
38
Adhis 👑🥰 :
na sis wenye atuna ata shosh 😞
2025-10-31 21:31:42
11
Brianna :
Wangu alisema come back home, nikikuskia kwa uyo mwanaume tena nitakutoa uko mimi mwenyewe na kama ni mtoto amakuweka uko niletee nitakaa na yeye 🥰.May God give that woman long and Healthy life ❤️❤️.
2025-11-01 06:01:57
62
eng simiyu :
mm mama yangu n kama sidechick wangu ,yy anataka pesa,hata nmemdump
2025-11-01 04:29:24
41
loita🥰 :
2019 🥺nilicall mum nikilia juu ya toxic marriage 🥺aliniambia give me one minute 🥺akanitumia 1200 niende home tuongee akiniona 🥺na ndio hivo am still alive
2025-11-02 11:15:11
55
firstlady🌷🌷 :
if ur mother can tell u that shukuru Mungu sana
2025-11-01 07:40:04
42
veey566 :
God 🙏 untill she sees me making it in life 😭♥️....protect that woman for me she's my everything 🥺♥
2025-11-01 19:08:17
32
EDWIN254🇰🇪🇰🇪 :
wenye tulikuwa tunatuma pesa za HELB loan nyumbani inueni mikono😭😭😭😭
2025-11-02 09:39:01
1
lizzfrank🦋🌸 :
Heri nyinyi wangu anasema yeye ndio atakuja
2025-11-01 05:04:10
4
lugutu_melvine :
afadhali nyinyi
2025-10-31 19:49:08
7
mageto junior :
wale wa 20/20muko wapi
2025-11-02 17:08:47
5
fabby ellah :
seeing this after amesema niende home😂😂
2025-11-01 11:27:29
24
🥰💉💊dee :
my mom alisema wherever you are make sure uko na fare inakurudisha home coz nothing is promised 😩😁
2025-11-01 07:45:16
27
FayJames :
my mum hawezi ambia mtu hivi she's like kai mutangiikara wega,,,,aiii
2025-11-01 06:27:38
1
Mary Green 🥰🥰💝 :
I remember Kuna day mamangu alinitumia fare nirudi home with my kids juu kanairo kumekauka , hao viumbe mungu azidi kuwabariki
2025-11-01 09:22:41
3
pope :
fr bless you Ma , unakaa tu hivi mpesa confirmed ,unaambiwa panda gari ya asubuhi mapema
2025-11-02 17:38:43
3
To see more videos from user @el.njorroh, please go to the Tikwm
homepage.