@bbcnewsswahili: Baada ya siku 5 tangu mtandao wa intaneti kuzimwa nchini Tanzania, na vizuizi kuwekwa mabarabarani, sasa athari zake zimeanza kuwa bayana. - Uhaba wa vyakula,kupanda kwa bei ya vyakula, ukosefu wa mafuta, na kutokuwepo kwa usafiri wa uma. @Leila Mohammed ametuandalia taarifa hii. - - - #tanzaniatiktok #uchaguzi #bbcswahili #maandamano #foryou

bbcnewsswahili
bbcnewsswahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 02 November 2025 17:59:22 GMT
65288
2816
34
74

Music

Download

Comments

abdibile001
abdibile001 :
UONGO. Mabeberu wanateseka sana. Ee Mungu msaidie Rais Samia
2025-11-03 10:05:34
8
immanuel057
user9579366502186 :
so huyo mama analazimisha kuongoza watu wasiyomtaka?
2025-11-03 16:00:44
8
gg33.___
GG._ :
kwaio maandamano yamesimama?
2025-11-02 18:10:28
1
user7355739154079
user7355739154079 :
sio daresalama tu Bali inchi yote Kwa ujumla
2025-11-03 17:31:44
2
nasoum43
Miss soum ❤️🦋 :
Niwatumie hizo video jaman wamaua ndugu zetu wanatumaliza had nyumban wanapiga risasi kwenye madirisha wanaua watoto please @BBC News
2025-11-03 10:53:12
2
kassim.khalaid
Kassim Khalaid :
aka kabibi kako na roo ya chuma akii
2025-11-02 19:13:35
2
user25457954
pg :
💙💙💙
2025-11-02 18:14:04
1
betpawa.free.odds
BETPAWA FREE ODDS EVERY DAY :
dada angu sio mamia ni maelufu ya watu huku dar wilaya ya kinondoni boda boda zinafaa kukwwpa maiti🥺🥺🥺
2025-11-03 17:03:35
0
alexbirikaa1
alexbirikaa :
uong sana
2025-11-03 18:04:44
0
kammandajr
ABUU :
😏
2025-11-03 17:42:32
0
user87961291982801
user123 :
Go to my account to see the truth of what happened before president samia
2025-11-03 03:45:50
0
nabora95
PeeN :
💯
2025-11-03 16:17:58
0
jainah.sam1
Jainah Sam :
💔💔💔
2025-11-03 18:07:05
0
its.aifa27
It’s aifa :
😄😄😄
2025-11-03 15:07:14
0
zetudua2
SABRY :
💯
2025-11-02 23:44:40
0
maccryvillle
@thee-MAC :
So no one is allowed in tz
2025-11-02 23:57:22
2
naswilu.hussein.s
Naswilu hussein Said :
😁
2025-11-03 14:44:24
0
bizzybor2
mr Christmas 🤍 :
amen
2025-11-03 17:20:57
0
ney8760
Ney :
2025-11-03 17:42:23
0
spco56
Nicocado :
👍👍👍
2025-11-03 04:25:30
0
masoudmasoud778
masoudmasoud778 :
2025-11-03 04:24:19
0
irenepend
irenepend :
😂
2025-11-03 07:22:14
0
gilbert_giily
Gilly254 :
😁😁😁
2025-11-02 23:07:58
0
susein.eagle
Susein Eagle :
🥰🥰🥰
2025-11-02 19:59:24
0
nasoum43
Miss soum ❤️🦋 :
@bbcnewsswahili please help us
2025-11-03 10:53:42
0
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About