@tjwise37:

TJ Wise 💡
TJ Wise 💡
Open In TikTok:
Region: KE
Sunday 02 November 2025 20:01:55 GMT
118163
12851
183
550

Music

Download

Comments

cindyanne456
Anne :
Kiherehere imenifanya ni post status ,,landlord akasema kesho Kuna meeting
2025-11-02 20:11:22
212
vokyadiz
fifth dimension. :
nani anawatch sahii akiwa bed akiimagine rent imekaribia na hakuna dalili🤣
2025-11-02 21:13:04
25
funnyjac_
Funnyjac :
Acha nitumie agent wangu hii😂
2025-11-02 20:27:56
76
ndetomutindi4
user3795847393626 :
Ata ukae miaka ishirini hawawezi kasia takataka
2025-11-04 10:29:37
0
user4874816108620
Alex mumbi :
Toa io jacket Sasa..
2025-11-04 04:29:27
0
theedefensivebulet
Mr. O C @🇰🇪🇰🇪🇬🇧🇮🇴 :
Buda tafuta pesa ujenge yako upeane offer ndio uchungu failure, 🫵🤣
2025-11-03 16:40:09
2
faridahchibae
Chichi💖 :
😂😅😂 offer Hadi kwa rent yawa kweli tumesota😂😂
2025-11-02 20:04:33
12
officialvincent18
Official vincent🔥 :
kwanza wangu anasumbua sana naomba aone hii😂😂😂😂😂🥺
2025-11-03 10:37:23
3
kennedymurumba2
Kennedy Murumba :
Acha nitumie landlord hii video akiniuliza nimwambie nilikua mlevi sijui kitu kaa hio
2025-11-03 07:14:34
8
lucyakinyi100
lucy :
si December January ndiyo kunakuanga mbaya bana😂
2025-11-04 09:55:17
0
mwari_001
mwari 001 :
awana
2025-11-04 10:19:05
0
babyscholar6
@babyscholar1 :
nikiwa landlords nitawapa offer ya miezi2 semeni inshallah basi😂😂😂🥰🥰🥰
2025-11-04 07:33:44
0
esther.maina91
Esther Maina :
ningepost status nikakumbuka huwa anaview status zngu😂😂😂
2025-11-04 10:04:27
0
vinchezvicky
Vicky🚩🚩🚩 :
RIP Raila Odinga😫😭
2025-11-04 07:53:19
1
4thvbz
PALMER KHEED :
nyumba ni ya baba ako upewe offer
2025-11-03 07:28:07
2
samsongarang3
samsongarang3 :
wafanye kweli bna😂
2025-11-04 06:01:23
0
stevenonyango45
Onyi :
Offer inakuaga ni wewe na Mimi hatuweziona hizo offer bro, uliza warembo single mothers wanategemea suruali
2025-11-04 07:36:12
0
faithmukeku
Faith Mukeku :
Hii namtumia direct😂😂😂.Nikifukuzwa si mtanichangia???
2025-11-04 05:11:57
0
ianondieki84
Ian Dmore :
umesema rend ama nimeskia vibaya😂😂
2025-11-03 20:36:38
1
bethwelney
twinsstar brothers :
ama February hata
2025-11-02 21:08:52
3
1stlady233
D.Lwizer001❤️ :
wacha nieke status nimtag 😂
2025-11-04 06:32:36
0
biggiebiggie113
biggie :
Nikipost hii napewa notice guys😁😁😁😁😁😁😁
2025-11-03 22:24:38
1
chitoapkoret
Mchelsea :
Ata vile nilikuwa najenga hakuna siku niliambiwa kuna offer ya mchanga,simiti ama mabati so story ya offer ngojea heaven 🤣
2025-11-03 13:02:38
1
mweshkavata01
Mwesh kavata01 :
Offer kwangu ni January.
2025-11-04 08:40:05
0
owinovictor553
Owino Victor :
bro umeongea ukweli
2025-11-04 05:18:24
0
To see more videos from user @tjwise37, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About