@jimshots254: Highlights of Nguuni nature sanctuary. It's located in Mombasa, Bamburi. Very nice place for tours and picnic. #fyp #viral #nguunisanctuary #mombasatiktokers #firstclass
Jimshots
Region: KE
Monday 03 November 2025 02:44:09 GMT
Music
Download
Comments
Saphi Ne :
Chukua matatu from bamburi.. it's 20/30..Shukia Turkey Base/Fairfield School...
2025-11-03 13:23:01
12
🇰🇪ENGINEER :
nani Ako free twende huku weekend
2025-11-03 13:05:36
19
user3323884004273 :
mimi hapa 🙈
2025-11-22 07:30:19
0
prophetess Esther Dhahabu :
imagine tuko nyuma yake na nilikuwa sijui hadi mum ndiyo aliniambia juzi🤣🤣
2025-11-03 13:44:53
6
BuDa :
Panda gari za Kiembeni zinakuweka hapo kwa gate
2025-11-03 08:43:25
8
Neema :
Nani anataka tuende pamoja?🤭
2025-11-03 10:47:07
2
@missmorgan :
children n how much?
2025-11-03 08:52:31
1
Robidan footwear nanyuki :
bamburi ama kiembeni wee mzee🤣🤣🤣
2025-11-05 03:09:32
0
loko :
nimeishi kiembeni 15yrs na ata sijawahi ingia imagine.
2025-11-04 12:31:14
5
Terry official :
nikiwa mtwapa nitaenda aje
2025-11-04 10:00:32
0
jaccy 😍 :
Nani ako ready twende Sunday
2025-11-04 04:14:40
1
Acemo🦋💕❤️💞 :
Mmesema ni how much adult
2025-11-05 10:26:57
0
Nancy Shamala :
Nani yuko karibu anipeleke weekend
2025-11-03 15:24:01
0
ustadha sarai :
Mimi sijawahi enda huko na home NI hapa Tu kiembeni what a shame to me
2025-11-18 09:50:50
0
kipara nice :
bamburi wapi
2025-11-04 10:03:37
0
user2510702354583 :
This is a good review ,exactly what we need to know
2025-11-03 12:56:44
3
cox ii inhibitor :
Is there a packing ama gari litapigwa na ndovu
2025-11-03 20:04:27
0
nihna :
me
2025-11-04 05:58:20
0
chica :
umesema entry ni 400??
2025-11-03 14:38:19
0
memsut :
mtu ani host twende niko likoni 😂
2025-11-03 16:39:28
0
Paul wesa :
zinaitwa orex na hilandboma 😂🤣🤣
2025-11-04 05:34:09
0
nyalalo wuod ukwala :
Lakini bei zao especially kwa watoto is not fair. alafu the place is boring tu
2025-11-20 00:36:53
0
JOHNPHARMA CHEMIST :
Niko Bamburi na ndo nmeiskia first time..... heading there leo
2025-11-09 09:53:37
0
Pauline :
a very nice place
2025-11-03 16:24:09
0
Nicole🇰🇪😍 :
na kama uko na gari ujue unalipia parking 300/- i think sikumbuki poa
2025-11-03 17:47:10
0
To see more videos from user @jimshots254, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2025 TikWM. All rights reserved.