@bbcnewsswahili: Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amepishwa kwa muhula wa pili chini ya ulinzi mkali, kufuatia uchaguzi uliokumbwa na ghasia na kupingwa na upinzani. - Hafla ya uapisho wake huo zinafanyika katika uwanja wa kijeshi katika mji mkuu wa Dodoma. Samia alitangazwa mshindi Jumamosi kwa asilimia 98 ya kura matokeo ambayo yamepingwa na chama kikuu cha upinzani CHADEMA. - - - #uchaguzi2025 #bbcswahili #tanzania #maandamano
bbcnewsswahili
Region: TZ
Monday 03 November 2025 09:55:06 GMT
Music
Download
Comments
SAALIM_OLENGA_STORE :
Hongera mama 🥰🥰🥰 Tanzania ni kama Chine kwa wengine wenye kutafuta riziki much love Tanzania na viongozi wao 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🥰🥰🥰
2025-11-03 10:02:44
82
Nino :
ATATULINDA VIPI WAKATI YEYE NDIO ANATUUA😭😭😭
2025-11-03 11:27:12
131
Rahman :
alhamdulillah
2025-11-06 07:56:03
0
Canal :
Kuna maisha baada ya uraisi na Kama si hapa duniani basi mbele ya mungu utajieleza
2025-11-03 11:48:47
68
Guleed siimba :
hu mama u wezzi tupo
2025-11-04 18:03:28
0
_ Msomali :
mama samia tunakupenda sanaaaaaa
2025-11-03 10:14:14
42
Salma Alnaamani :
Long live mama Samia
2025-11-03 10:00:43
32
abdibile001 :
Go mama go. Tunakupenda mno. 👑
2025-11-03 10:00:51
28
ruthyohna :
Yan kashika na Quran kabisa dah
2025-11-03 10:02:46
46
We Zombie haujuwiiiiii :
Uaminifu upi Malaya huyu hatumtaki😂😂😂njoo tukufanyie part
2025-11-03 10:36:38
9
jontapi2 :
sio chadema bali wananchi hawamtaki sasa atamuongoza nani????
2025-11-03 11:25:04
14
Mkãlì Bøy🇧🇮 :
hongera mama mitano tens🥳🥰
2025-11-03 10:20:15
5
Im2cool4u :
Wewe Mama mwogope Allah usicheze msahafu kwakuapa uogo
2025-11-03 17:54:10
4
Metrooo KAI :
MUUAJI
2025-11-03 10:46:32
29
Mbaraka Athuman Kibwigiri.con :
chuki hazina maana acheni kazi iendelee one love
2025-11-03 16:53:49
10
Nika :
Nakupenda mama❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤
2025-11-03 15:14:39
19
123452005 :
hongera sanaa mama
wahuni tulieni sasa😂😅
2025-11-03 13:52:53
9
servanking17 :
sawa ila ucje mwanza
2025-11-03 17:46:13
2
Sia💗 :
uzur ata ww unajua haujapita kialali ata aibu huna ww unamtaja Mungu kbs yani unahisi utaishi milele ety 🥺🥺
2025-11-03 17:24:51
4
yassni said :
we matako nn huyo mamaako
2025-11-03 17:36:21
0
Mercury :
mbona anatumia kijitabu kuapa??
2025-11-03 10:23:31
0
Victor Daniel :
mhhm aya bana
2025-11-04 12:07:55
1
natasha🤎🤍 :
Mungu tusaidie wa Tanzania
2025-11-03 14:38:30
8
💡💧🇸🇴🇰🇪 :
Samia best presdent for ever love from Kenya 🇰🇪😊😊
2025-11-03 18:48:51
2
Adson Agasha :
Hongera sana Rais🎊.Ninakupendeza vyema tu kutoka hapa Uganda.Mungu abiriki Tanzania
2025-11-05 04:38:03
0
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2025 TikWM. All rights reserved.