@peshyluv: Natoa pole kwa watu wangu wa Mwanza (kiseke, nyamhongoro, Nyasaka, mkolani, buhongwa) kwa kupoteza wadogo zetu wengi mno kwenye kipindi hiki cha uchaguzi , na wa Tanzania wote wa mikoa mingine kwa ujumla kwa kupoteza ndugu zetu.. Mungu azilaze roho za wadogo zetu in internal peace 💔 #tanzania
Pendo
Region: NL
Tuesday 04 November 2025 07:09:32 GMT
Music
Download
Comments
🖤VR🖤 :
mungu nakuomba ufanye miujiza haya mawe yapasuke kuwa ishara ya watanzania kuuliwa bila hatia😭😭
2025-11-04 14:46:19
2
@alfred®®™✓ :
maumivu ya watanzania ambao awana HATIA na vilio vyetu Mungu avijibu 😭
2025-11-04 11:18:35
7
msevo sam k :
mwanza
2025-11-11 14:26:08
0
Suzana Emanueli :
Sanaa my
2025-11-09 17:49:17
0
Gd brown :
amen mungu atutie nguvu kwa kipind hiki kigum tulichonacho wa Tanzanian wot tunaumia 😭😭😭
2025-11-06 04:48:30
2
ayubu :
daaah!!!! Hadi nataman bora Tu wasingerudisha network maana nilchokikuta huku aiseee 🤔
2025-11-04 17:01:08
3
Myahudi wa kisukuma :
nimeumia dada nimeumia😭😭😭😭
2025-11-05 10:22:50
4
Man'Kush :
Hiyo ferry ya hapo Kamanga imenivusha kuja Shule Nyamagana kutoka Kamanga kwa miaka yote ya P/School miaka ya 1990 huko, Hii ni homeland
2025-11-04 07:22:15
0
@Japhari Zakaria :
waisilam wote takbir
2025-11-05 14:06:02
2
user7249336885257 :
kunanini jmn
2025-11-04 17:59:31
0
😭😭😭😭💔💔💔wamejua💔💔💔💔 kutuumiza mungu atalipa😭😭😭💔💔
2025-11-04 14:22:57
3
melele'sdaughter :
things will never be the same again...
.
2025-11-04 08:53:35
1
Aveline Lameck :
jmn kimetokea nn
2025-11-11 13:15:42
0
ayubu :
ila timejifunza kitu Kama watanzania, wahamasishaji wa haya yote wako USA madhara tunapata Sisi kwa kuwasilza akina mangi kimambi daaah,
2025-11-04 17:02:25
0
josephatmutelani :
😥😥
2025-11-04 07:45:17
1
Ladislausce T.maduka :
🙏🙏😭😭😭😭
2025-11-05 15:33:28
1
Flora Meshack :
😌😌
2025-11-05 06:19:14
1
HAPPY TZ :
😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2025-11-05 10:07:17
1
Nihan tufani :
😭😭😭😭😭
2025-11-04 19:41:45
1
wakuluabdully :
😭😭😭
2025-11-04 15:21:09
1
Mimi tu 777 :
😭😭🫂🫂
2025-11-04 11:06:05
1
Glory G Tarimo✨️✨️ :
😭😭😭
2025-11-04 10:26:12
1
Gracious Store01 :
🙏🏻🙏🏻
2025-11-04 08:13:26
1
Mayazavallah :
😭😭😭
2025-11-04 08:00:02
1
paroko mteule♀️⛪ :
😭😭😭
2025-11-04 07:18:03
0
To see more videos from user @peshyluv, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2025 TikWM. All rights reserved.