@k24tvdigital: "Ruto is in every field ya biashara,mpaka biashara ya matatu amechukua pamoja na watoto wake," Gachagua
K24TV
Region: KE
Wednesday 05 November 2025 15:13:39 GMT
Music
Download
Comments
J Bitok :
kwani watoto wako wanafanya biashara gani
2025-11-05 17:30:46
70
Ronnie :
ni kujituma my friend
2025-11-05 16:29:27
49
misinga enkoba :
mwendasimu wewe
2025-11-13 12:08:43
1
tim luv :
pumguza wivu basi weka yako hakuna mtu atakuliza
2025-11-05 16:48:15
29
Enoxon 🇰🇪🇨🇦 :
matatu industry imekua ya kikuyu since independence, George ruto amekuja na matatu mbili pekeake mnaanza kulalamika? mkabila wewe
2025-11-05 18:03:50
71
Ras Davi :
mad man
2025-11-08 01:42:34
0
vincentkiprotich0 :
Mwanaume nikujituma wewe pia jitume.
2025-11-05 18:17:21
7
Thomas Hards :
Bt si inaajiri vijana 😂😂😂
2025-11-05 20:47:00
3
Mr Don :
to make the matter worse, he is selling all government assets
2025-11-05 19:52:10
9
Dennis kips bett :
ww unakiti mjinga ww
2025-11-05 15:31:14
8
kemboi jack :
gachagua hii wivu yako nayo ni too much
2025-11-06 12:14:41
0
kaks :
wivu inanyonga uyu jamaa
2025-11-05 17:50:05
9
WORLD'S EVERYTHING :
uzuri ni siku moja tutazichukua zote 😂... in the end, everything is transferred
2025-11-05 17:44:49
3
K€MƁ●Ÿ :
ata wewe shukua basi 😂
2025-11-06 12:12:44
0
Stefano :
umbwa
2025-11-06 11:52:33
0
Ngetich :
what's your agenda 🤔
2025-11-06 01:53:34
0
RA MO GI :
Kumbe ruto anasema ukweli, average thinker wewe watoto wako wanafanya gani
2025-11-06 12:26:27
0
mamataifa3 :
is it wrong really????finally utakuja kutuambia venye ruto ni mwerevu na venye akona akili ua kutafuta pesa...finally haitakuwa ya wizi
2025-11-05 18:30:17
2
@kiptoo14 :
jinua achembe 😂
2025-11-05 22:18:22
0
✔️One Love 🇰🇪 :
huyu awezi toa Ruto. personally mimi ni Tutam
2025-11-05 19:54:07
8
Sambu :
uniambiye watoto wako na hotel Ii ngapi
2025-11-06 19:47:14
0
Chumba :
Si ulisema your community is driving Kenyan economy.....hii ni nini sasa?
2025-11-06 12:52:28
0
raphaelkibe :
zote n zetu after election
2025-11-05 17:52:38
3
Rotich Kiprono :
Huyu anaharibia united opposition🤣🤣🤣
2025-11-06 07:48:45
0
dukemanyara190 :
Kwan mtu hawezi nunua gari 😂 ona huyu Kwan uko na kiwaru 😏
2025-11-06 04:58:33
0
To see more videos from user @k24tvdigital, please go to the Tikwm
homepage.