@haruna_kenya: Mama ida odinga rejects Governor Wavinya's hug in public pushing her hand away.. anyway ni AI.

Haruna🇰🇪
Haruna🇰🇪
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 06 November 2025 10:29:18 GMT
528896
7387
815
931

Music

Download

Comments

lovymarcosvenom
venom lovy marcos :
kusema ukweli huyu bibi ya raila huwa roho mbaya
2025-11-06 19:15:32
387
ivyarguas1
It's Ivy💜 :
heee atakama n ww
2025-11-06 17:51:07
571
osotuareneeh4
OsotuaReneeh4 :
Ida ana roho mbaya
2025-11-06 18:42:39
71
user6302012542527r
@Ruth I&L :
hata hana adabu chenye alifanyia mama Ida anadhani mam amesahau shindwe kabisa
2025-11-07 14:24:29
1
victorrobinson82
victorrobinson82 :
si kwa ubaya have never liked ida
2025-11-07 03:41:37
28
pinchezz_254_ke
PinchezzKE🇰🇪 :
aligongea ida na anaenda kumhug😂😂😂💔💔💔
2025-11-06 17:37:45
144
cadeyqurax
Mushtaq hoyaded🌸 :
Who is this lady trying to hug ida
2025-11-07 05:58:25
10
esthermweapishori
@sweetgal690 :
wenye wanasema Ako na roho mbaya sinjui mbona mnamjudge...may b there is a story behind we may not know...
2025-11-07 04:33:47
38
harriet.ngaira
harriet ngaira🥰🥰 :
nimependa mama Ida hakuna kusamehe adui juu amekuja kuomboleza abaki place inafaa akue
2025-11-06 16:48:16
163
_vivian203
vee✨🦋 :
yes kidole sambusa alipe kioko pesa zake🙄
2025-11-06 16:53:27
55
jazminjoan7
joan :
kwani ida akona roho mbaya hivo
2025-11-07 12:59:36
2
edinawanzala
Adipo 😘 :
Inaitwa kujipendekeza 😂😂😂 mama ida wewe toa hizo mikono zako zatakataka 😂😂😂
2025-11-06 17:25:30
19
magret.nyakwar.ha
jaber 🇰🇪 🇸🇦 🇶🇦 :
jamani hii ni aibu gani😩,,naeza rudi nijinyonge😂😂😂
2025-11-06 18:01:03
70
user2179617681137user
TOXIC ME 💀 :
lakini mbna idah ako na roho chafu
2025-11-07 08:45:17
2
m_princelly1
faith wanza :
kama sisi wa machakos atumpendi sebuse kisumu 😂😂😂😂
2025-11-06 18:38:08
35
winner2001k2
winner :
hii ndo reason siwezi salimia mtu 😂🤣lkn mtu akinisalimia nitasalimika😂.huyu mama hatawahi pona woiye
2025-11-06 17:27:15
96
queen.joy969
queen joy :
ata nasikia aibu on behalf 🤣🤣
2025-11-06 18:43:57
340
sir_kisi
kiss 100 :
The one who remembers to comfort you in your sorrow, NEVER ignore them.
2025-11-07 07:08:25
16
sam168000
Sam Muoka :
soon , the place will remain silent..she will find no genuine or fake hugs..
2025-11-06 21:50:48
29
sewamalwa
Se-Wamalwa :
🤣🤣🤣🤣,I like it, attention seekers
2025-11-07 03:50:06
2
jymojyms21
Jymõ Jyms :
alitaka kusema alipe pesa kwanza 😂😂😂
2025-11-06 11:30:56
9
sinyorita9811
Uncle Sam :
MKAMBA ameonyeshwa madharau na HUGS zake za TAKATAKA🤣🤣🤣🤣🤣
2025-11-07 03:25:33
2
sonizkirema
Soniz Kirema :
mama Ida ako zile za toa hizi mikono zako matakataka hapa mnyanyasaji😏
2025-11-06 14:13:45
264
02025xp
Nyakwar Olwa. :
sijapenda hata kama akona beef 😂😂😂
2025-11-06 18:41:05
2
jess_poullette
Jessie_ poullette :
why hug her when she is busy😂😂
2025-11-07 11:31:43
1
To see more videos from user @haruna_kenya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About