@hamadeddymaclayz001:

🇹🇿Hamad Eddy Maclayz
🇹🇿Hamad Eddy Maclayz
Open In TikTok:
Region: AE
Thursday 06 November 2025 16:53:59 GMT
70118
1469
204
600

Music

Download

Comments

whois_.asjm
𝒜 :
Waliofanya fujo si wametoka nchi jirani?😂
2025-11-07 08:41:46
9
godfrey.paulo.mwal
Godfrey Paulo Mwalimu :
umeaanza tena kutuchokoza basi katoe balabala zenu kwenye ichiyetu
2025-11-07 04:13:37
51
gsparxx
gee_sparxx :
kampeni zimeisha naona, sio tena maafisa usafirishaji bali boda boda tena😂😂
2025-11-07 09:47:12
1
small..i
small..i..♌♌️ :
tukamsalimie uyu jamaa kwake n watuandalie chai
2025-11-06 20:28:44
49
mddlemapesa77
middle master :
kumbe charamila ni msenge
2025-11-06 20:26:13
82
shammy.abdallah83
Shammy Abdallah :
huduma za mwendokasi zimesitishwa lkn pia Barabara mnazuia 😂 tupite angani au
2025-11-07 06:42:02
3
guru_genius
GURU :
VISASI VIMEANZA
2025-11-06 22:10:58
19
user2401candybee
IreneMakinda🦋 :
🤣🤣 nchi yangu🙌
2025-11-07 09:54:26
1
doy.sazy
Doy Sazy :
kwaio mtampiga lisasi au?
2025-11-06 20:32:32
25
faithfanuel7
faith Amadj💋 :
hivi huyu baba kwamba hatokufa anavoongea kwakujiamini
2025-11-07 09:53:52
0
mpakistaniprison
👐Backup Man 26G🇵🇰🇹🇿 :
Ndo maana nywele ziko kisogoni😂😂😂
2025-11-07 07:15:16
2
mzeewakuharibumood
mzee wa kuhalibu mody :
ziliitwa maafisa usafilishaji leo ni bodaboda hii kazi ni ngumu sana 😂😂😂😂😂
2025-11-06 20:37:24
11
iqramissa6
Iqram Issa Karim :
Ila hii nchi yetu bhana boda boda haruhusiwi kupita barabara za mwendo kasi ila defender na gari za wafanyakazi wa serikalini zinapita 🇹🇿💔🙌🙌
2025-11-06 21:36:02
3
father2davy
Mr.Index :
badae mtaskia marufuku kupikia gesi yetu😂
2025-11-07 08:24:34
2
nasrakihanga
Nasra Kihanga :
Ona kichwa chake kilivyokaa utasema mwezi 2 😂😂😂
2025-11-07 07:44:02
1
atunavyeti
Atuna vyeti :
yani watu wamekufa ujasema lolote ila viongozi wa bongo apana jamani.😳😳
2025-11-06 20:40:44
28
salmin.abuu
salmin msigwa :
achaneni na mlevi uyu watoe balabala zao kweny nchi yetu
2025-11-07 09:43:52
0
youngboyat03
Young Boy🧒 :
akili imejaa mavi kweli balabalwa 😁 kama ulivyosema 😁😁😁
2025-11-07 08:32:01
1
frednjau728
Fred Njau :
ivi mnafikiriaga mnayoongea
2025-11-06 23:46:04
0
nasskhan446
Mgundakhan✨ :
zimepita Leo asubuhi kama zote
2025-11-07 06:25:07
7
userbossdulla
user boss dulla :
😂😂😂😂😂😂😂mumewatibua sasa ni alokuwemo na asie kuwemo movie ndio limeanzaa upyaa😂😂
2025-11-07 03:10:05
1
exavery1234
daniel :
NA WATEMBEA KWA MIGUUJE
2025-11-07 03:38:11
1
chollohzillah8
CHOLLOH Zillah :
nndugu zaku nimesoma comment zenuu😂😂😂😂 Tanzanian nnchi yangu nakupenda 😁😁😁
2025-11-07 09:04:40
0
bassamnassor
beyboss :
nyinyi mwapenda kutia hofu raiya cheo ni zamana
2025-11-06 20:01:03
8
mrodds_sports
Master_tz :
huyu kuna mda akili zinakuwa kama ............
2025-11-07 09:07:41
0
To see more videos from user @hamadeddymaclayz001, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About