@bellamy_gong: Vipi na wewe una tabia mbaya kama ya kwangu?😅😅 #tanzaniantiktok🇹🇿 #tiktoktanzania #sasampa #motivation #Tanzania

G O N G
G O N G
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 07 November 2025 07:57:54 GMT
148063
5512
294
1139

Music

Download

Comments

fatherbishop0
Fatherbishop✝️☦️ :
Uyo mwenyew 6000 ni polisi
2025-11-07 12:53:13
326
officialtravis0
Tray :
huyo wa mil 90 alitoa kiasi gani?
2025-11-07 12:24:25
31
sengju021_lhd
SENG JU :
AC nyingine zakupokelea mshahara tu.
2025-11-21 06:50:36
0
jeremiahsebha
Yumson22 :
bro, utakamtwa ni illegal kukagua personal info
2025-11-07 11:48:02
64
dr.ab3d.tz
Dr.ab3d.TZ :
sisi wa 400.00 tujiane😅
2025-11-09 17:26:29
1
gloriamateru
Trace biyanca :
Wee ukamatwe
2025-11-17 11:58:55
0
msflower766
flower💋🥰 :
nadhani m ndo mtu pekee sijawah kutoa ela ATM 😭
2025-11-07 15:45:45
17
exavery1234
daniel :
HUYO WA 6000 NDO WALE WAKIONA GARI YA SELIKAL UTASKIA ANASEMA , HIZO N KODI ZETU,😂😂😂😂
2025-11-07 16:06:21
48
bellamy_gong
G O N G :
JAMANI IZO SIO KAMA HELA WALIZOTOA HAPANA ILA IYO NI SALIO LILOBAKIA
2025-11-07 11:45:33
64
zeddicusszulzorander
🦂 :
content nyengine zakichoko... mtoto wakiume umekaa waokota risiti uangalie watu usiowajua ili iweje kama sio kukosa kazi
2025-11-08 12:46:42
0
alhousmilesamiking1
canadian boy🇨🇦 :
unasem kibongo wakat kweny unguja mitaa ya kidongo chekund kwa shee mudi ww🤣🤣🤣
2025-11-19 09:09:59
0
rotylious
rotylious :
unahitaji risiti...nabonyezaga HAPANA,,salio ntaliona kweny App😁😁
2025-11-07 16:29:54
42
chiomacurvy
chiomacurvy🇹🇿 :
Naomba namba ya uyo 94m
2025-11-15 20:53:10
0
omy7931
omy :
wataje kwa majina nakuomba
2025-11-13 20:44:26
0
becky_mic1
Becky michael :
Umechukua kwenye dust bin 😂
2025-11-07 14:44:21
0
electrical.light.decor
fedo :
tabia yangu hiyo
2025-11-16 05:58:21
0
joy87180
@joy :
uyooo mwenye afuuuuuu 6 ndo mm apa 😂🤣🤣🤣
2025-11-16 20:51:36
0
reecandy
reecandy :
uyo mamba namtaka naomba namba zke bas😌😌
2025-11-16 23:06:48
0
kendricky4
Kenny wa assu.. :
dah 😳 wee fala kwahyo mim wa elf 6 nitafute kibubu dah .
2025-11-08 19:30:36
1
its.h776
it's h 😊 🤎 :
duh 😅😅 niongeze muda wa kuwah kazini tu
2025-11-13 17:19:33
0
miren0052
Miren 💓 :
lkn Hadi uombe maan Kuna option ya ndy au hpana au ukitoa na hautaki uchane
2025-11-15 06:42:44
0
zantybobo
zantyofficial :
😂😂😂😂😂Shenz
2025-11-17 07:37:46
0
perfect.odds6
Perfect odds :
Uyo wa afu sita ndo mm apa😂
2025-11-09 18:40:33
5
iamjoowzey
DIRECTOR JOOWZEY :
Mimi Nilikuta Ya 340M Chuo ATM 😂
2025-11-13 11:01:32
0
vonne397
vonne🫐💕 :
Million 94 mnapataje zote izo nyie watu 😩😭
2025-11-16 11:50:17
0
To see more videos from user @bellamy_gong, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About