mimi new relationship ata hazipiti wiki ,,10 texts na nishaboeka narudi kua single tena. 🥹🥹🥹🥹
2025-11-08 15:51:54
12
@Mwa_ngii🖤💫 :
guys mtu hufanya aje aki nimeshidwa😢
2025-11-08 11:59:47
6
Shantel.l :
Nyinyi wote mumeshindwa kumove on????😩😭😭😭
2025-11-09 00:57:47
7
Amina :
Nataka niende mbaliii🤣
2025-11-08 07:56:24
83
Musa🖤 :
na nilikuambia uachane na mapenzi😂😂
2025-11-08 04:40:32
24
Pivens :
suddenly the advisor,can no longer take his advice.😅
2025-11-08 09:29:27
100
Fifii💕 :
Nanii alikuvunja roho tumkute😂😭
2025-11-08 03:12:17
18
@Rene 😍♥️ :
It's easier said than to do it eei..saa zingine unaskia uchukue kisu ujidunge💔😂😂😂
2025-11-08 11:10:55
11
Nyakundi :
Look, it's not that way. maybe you should see that from a different aspect. You're not the first to go through that shit, and when someone tells you to move, it doesn't mean they think it's easy. It's usually a difficult decision for sure, but it's often worth it in the long run.