@miladu_tv: MVUA BILA KIPIMO Isingelikua Mvua inanyesha bila kipimo hivi ndivyo ingekua. Watafiti walipofanya jaribio la presha ya maji kutoka Juu kushuka chini ili kuona nini kitatoke. Hayo ndio majibu yake. M/Mungu S.W. ameumba kila kitu na makusudio yake. Kila tone la Mvua M/Mungu analijua. Ameifanya ipunguze mwendo wake kwa kubadili sura yake ili idondoke bila kuharibu wala kuumiza. La si hivyo Mvua ingetuua. Hii ni katika Neema zake Allah Allah hakuacha kitu alishasema katika Kitabu chake Takatifu Quran Surah 43 Zukhruf aya 11 وَالَّذِي نَزَّلَ مِنَ السَّمَاءِ مَاءً بِقَدَرٍ فَأَنشَرْنَا بِهِ بَلْدَةً مَّيْتًا ۚ كَذَٰلِكَ تُخْرَجُونَ "Na alieteremsha Maji (Mvua) kutoka Mbinguni kwa kipimo kilichokamilika, kisha kwa hayo tukaifufua ardhi iliyo kufa, na kadhalika mtatolewa" @miladu_tv #MiladuUpdates #miladutv #babdeoMiladu
Allah anatupenda waja wake hakika ni mwenye hekima sana
2025-11-08 14:21:10
25
yasir_bella2 :
😳😳 ss mbono ayo maneno ya kuran ume andika kwa kizungu 😏
2025-11-08 16:02:35
0
@waheeda :
SubhanaAllah
2025-11-09 06:31:01
0
Deson kulita :
Allah Akbar
2025-11-09 06:08:16
0
Safia :
subhanallah
2025-11-08 17:22:23
0
UNLIMITED :
allahakbar
2025-11-08 19:10:32
0
011 :
Allahu Akbar
2025-11-08 12:45:10
3
BLUESAIL FOOTWEAR :
for better understanding
2025-11-08 18:26:28
0
alifaki811 :
Subhallah
2025-11-08 15:47:00
0
Mus'ab :
Allah Akbar
2025-11-09 05:59:39
0
DivyaDevGømez :
SubhanaAllah
2025-11-08 15:24:06
3
zalhat :
allahu akbar
2025-11-08 18:00:48
0
user142497409697 :
Allahu Akbar
2025-11-08 17:33:57
0
mariam sappa :
Allahu akbar
2025-11-08 19:17:36
0
BLUESAIL FOOTWEAR :
AllahuAkbar
2025-11-08 18:26:56
0
I.mash _@lly :
Allahu akbar
2025-11-08 14:19:37
0
user9974041546880 :
subhanaallah
2025-11-08 16:55:25
0
brother_don.04 :
❤❤❤
2025-11-08 17:16:03
0
chii01 :
subhanallah ALLAH is great subhanallah alhamdhulillah lailahailallah
2025-11-08 17:52:07
0
abohudheifa :
والذي نزل من السماء ماء بقدر فأنشرنا به بلدة ميتا ، كذلك تخرجون
Ambae aliteremsha maji kutoka juu kwa kiwango maalumu tukazifufua kwa maji hayo ardhi zilokufa na kama hivyo nyinyi mtatolewa [ kutoka mchangani ]
2025-11-09 00:23:32
1
Ummy🍎 :
ALLAHUAKBARU ALLAHUAKBARU ALLAHUAKBARU wallah Najivunia kuwa Muislam 😭😭😭🤲 Alhamdulillah
2025-11-08 15:31:50
0
To see more videos from user @miladu_tv, please go to the Tikwm
homepage.