nani Ameona venye chiefbenard amenyonga hiyo simu kwa mfuko😂😂😂😂
2025-11-09 14:02:15
98
Vansegal Agusto :
Ni nini mbaya na mikono 🤔
2025-11-11 14:23:43
0
Juh Kolyn :
ringtone ya oking inafanya nini kwa mfuko ya chief
2025-11-10 06:45:19
3
swat :
jicho latatu na katululu😂😂😂
2025-11-11 09:02:22
2
oyembeisaac :
chama n moja
2025-11-10 08:18:13
0
Jose wuod Anne :
kuna ka nokia kameleta aibu hapo🤣🤣🤣
2025-11-09 16:39:50
19
N.a.n.c.y r.i.t.a.r.i :
wow chief Bernard endelea na huwo moyo wa kusaidia,be blessed 🙏🙏.
2025-11-09 19:44:25
3
Thee Santos :
Unatuona kama matako yako Papa tv ndio cameraman hiyo ndio jicho tatu ya dunia? bure kabisa 😂😂😂
2025-11-09 18:53:42
6
Zed bee 🐝 :
Hako ni kanini kanalia Kwa mfuko chief 😂😂😂
2025-11-10 05:33:16
4
MIKE IS MY NAME :
😆😂🤣Mnajua nacheka kwa nini…hiyo ringtone kwa kijana mdogo mwenye pesa mingi,hiyo ni maajabu
2025-11-09 16:59:26
13
PJ :
Mnajifanya hamjaskia hio ringtone 😅😅
2025-11-09 14:25:08
8
BONIFACE 🇺🇬 :
shetani akubariki sana😂
2025-11-09 18:48:33
15
wuod awino :
kiongozi cha jicho la tatu ya dunia east Africa 🫡 brother naomba kazi la kupakia nyumba yako rangi me ni fundi nimeomba tu kama itawezekana niko free me ni Stephen
2025-11-11 15:31:39
0
Ben Origi Kiongozi (BOK) :
Toa hiyo kijana kafara
2025-11-11 17:18:35
0
stv :
kijana mdogo mwenye pesa mingi
2025-11-09 13:31:43
0
nyaruoti :
ata huyu utajukua bado🤣🤣
2025-11-10 09:33:26
0
Hillary Okoth :
Na msalimie mashetani wote😅😅😅
2025-11-10 08:29:16
0
mercy :
uko sawa sana
2025-11-09 19:52:43
2
user1814904633142 :
nimeskia jicho ya tatu ndio nini iyo
2025-11-10 01:21:32
0
lutrac :
na hiyo uliyominya n simi
2025-11-10 03:13:10
0
shazie :
ubarikiwe sana n shetani wako chief bernard
2025-11-10 06:09:27
0
kibet :
hamkuskia ringtone 😂😂
2025-11-09 20:50:15
1
To see more videos from user @chief.bernardkenya, please go to the Tikwm
homepage.