@nomaseries: 🎭 Wanapocheka, dunia inasahau maumivu yao… Lakini nyuma ya vicheko hivyo, kuna siri nzito 😔 💔 Nawanda — miezi 6 bila tendo la ndoa, upweke umemgeuza mtu mwingine. Kwa tamaa ya kujisikia “hai” tena, ametuma picha za uchi kutafuta milioni 5 💰 Maumivu, tamaa na aibu vinamzidi nguvu… 😩 Ila NOMA ni NOMA! Bado siku ngapi kufika Ijumaa? 🔥🙌🏾 #NOMA #SeleSupro #AdamaKibaro #Amokfilms #nomaseries🔥🔥🔥🔥🔥🔥 📺 Ijumaa – Jumapili saa 1:00 usiku 🔁 3:00 usiku | 5:00 asubuhi | 12:00 jioni 📅 Jumatano saa 6:00 mchana – 8:00 mchana
nomaseries
Region: TZ
Monday 10 November 2025 08:56:59 GMT
Music
Download
Comments
Mrs mansoury 🥰 :
hii siku nilicheka jamani hadi saa hizi nikikumbuka na cheka peke yangu😂😂😂🙌
2025-11-10 10:15:54
19
Fifi O :
hiyi movi gani😂😂
2025-11-10 18:25:03
0
hopemirisho :
sede ulitaka kuuliza nn jmn
2025-11-11 01:30:14
0
Zukra Mnango :
ila hawa mabest kila mmoja anamajanga yake
2025-11-10 15:28:55
11
janet :
ila nawanda🤣🤣🤣🤣🤣
2025-11-10 19:11:44
1
Stephanie Sylivanus :
sema mshkaji ana kipaji sana
2025-11-10 14:46:09
5
elizafaunamugeta :
😂😂💔Side kwani alikuwa anataka kuuliza nn?
2025-11-10 19:54:30
0
mr_turbo :
😂😂😂Dah Ana wakati mgumu ndugu yng huyu 😁
2025-11-10 20:38:13
0
yux_minah :
😂😂😂😂😂😂😂😂nawanda 😂😂unajua
2025-11-10 20:15:12
0
hawamsangihygeinepoint :
naipenda sana hii tamthilia
2025-11-10 19:39:33
0
@Tee🦋💖 :
baba suzy ananipa raha anamshangaa mwenzakee😂😂😂💔
2025-11-10 16:53:07
0
suleeycollection :
Daah
2025-11-10 19:27:20
0
Saada cute😘95 :
😂😂il mm napenda ivi vichwa tu
2025-11-10 16:12:59
1
Maki store Perfume :
😂😂Noma ni noma kweli
2025-11-10 18:17:32
0
zerrah :
nawanda kwann aingize ulimi kwenye chupa
2025-11-10 16:18:51
0
mamu :
nawapenda sn kk zangu
2025-11-10 17:44:16
0
user3676381478019 :
Ila hivi vichwa 😂😂🙌🙌
2025-11-10 18:13:04
0
D Momo :
ila hii siku🤣🤣
2025-11-10 17:48:45
0
mariamduniatz :
mafundi wamekutana
2025-11-10 16:17:15
0
zee :
ichi sio kilio cha pombe kwel🤣🤣🤣
2025-11-10 19:42:01
0
Cosmas Chifunda :
Sadam nawanda na kuku bali sana mwanangu unajua sanaa amna anae kufikia tz nzimaa❤👍
2025-11-10 21:05:17
0
user1108393677109 kaman :
Hemedi Sasa😂😂🤣🤣😁
2025-11-10 18:05:58
0
Trixie Felicity Yato :
😂😂😂
2025-11-10 11:13:32
1
AlmEida PriNcE👑 :
😭😭😭😭😭😭😭😭
2025-11-11 00:53:15
0
Dijaaa collection🇴🇲 :
🤣🤣🤣
2025-11-10 20:02:53
0
To see more videos from user @nomaseries, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2025 TikWM. All rights reserved.