@bbcnewsswahili: Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amemteua aliyekua waziri wa fedha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu. Bunge litamthibitisha kisha Rais kumuapisha. Nchemba amewahi kuhudumu katika wizara mbalimbali, alikua Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Waziri wa Katiba na Sheria na Naibu Waziri wa Fedha #bbcswahili #foryou #tanzaniatiktok #uchaguzi2025 #kenyatiktok
bbcnewsswahili
Region: TZ
Thursday 13 November 2025 06:27:38 GMT
Music
Download
Comments
I’m_loly🦋🫦 :
Anavyoshangaa kama vile alikua hajui😁
2025-11-13 06:54:52
481
BAHATI 254 :
endeleeni kutupandisha hasira tuu
2025-11-13 06:49:32
209
PescalGroove :
Wabunge bado wanaamu ya kugonga meza😂😂😂😂
2025-11-18 16:32:40
0
STAVO GARAGE 🍃🇿🇦 :
nice watanzania tunakuhitaji 🍃🇹🇿
2025-11-13 06:39:08
26
tom berenga :
kutoka kuwa mwiz wa kawaida na kupanda cheo na kuwa jambaz kuu😳
2025-11-13 08:28:20
128
Tee Pietro 🧚♀️💕 :
zile movie za kikorea kumbe ni kweli bhn😌
2025-11-13 06:58:59
94
mick100 :
baaasi tumeishaaaa😂😂😂😂
2025-11-13 06:34:48
216
white pop :
Kwan majaliwa ana nafasi gan sahv..?
2025-11-13 08:47:59
3
Dan carpet :
mwizi huyu anakua Waziri mkuu jmn Tz
2025-11-13 06:31:41
105
justine🤲 :
Maskiniiii,baba wa tozo mmh! eeh mungu simama nasi sote, wao wale na sisi!
2025-11-13 09:34:54
0
sychller :
huyu si ndo mzee magu alimpa kadi nyekundu au huyu ni wakuzimu 😭😭😭🥹
2025-11-13 07:54:35
0
vero-yanga :
kwamba haelewi kilichotokea au anatuzuga😏😏😏😏
2025-11-13 07:00:36
63
KASSIM ZANZIBAR :
apo anafikiria bdo nn hajamaliza
2025-11-13 06:40:46
22
mo :
Kalala TAJIRI
Kaamka TAJIRI
😡😡
2025-11-13 07:12:18
54
ans :
majaliwa amekua Nan😒? swali langu dogo tu nijibun tafadhar 🙏
2025-11-13 09:07:35
0
fashionnevertz :
Wahaini wenzangu mnaendeleaje huko😂
2025-11-13 09:00:37
31
Ms.Nana🦋🦋 :
Me nilimtaka Makonda bana🤗🤗
2025-11-13 08:26:27
0
Vinicius Peter :
nchi sijui inakoelekea.
1: Raisi Samia
2: makamu Nchimbi
3: Wazir mkuu nchemba
🙌🙌🙌
2025-11-13 10:05:07
3
@Dia's 🦋 Daughter :
huku iramba tunamchagua na barabaran ni mbovu hata hazipitiki nyoko huyu
2025-11-13 07:10:06
2
Lugano Wilisoni :
Hii nchi ishalaniwa yaan anamuweka mwizi kweli dah inauma sana
2025-11-13 07:00:01
4
Lui :
Mwenzenu anawaza jinsi atakavyozitumbua hizo hela tuu🤣🤣🤣💔
2025-11-13 13:23:34
1
dm :
kutoka Kwenye fedha mpaka waziri mkuu hongera
2025-11-13 06:34:30
64
BINAMU :
Waziri wa Ulinzi wampe Makonda
2025-11-13 07:04:36
27
Ze Biz :
😂😅 Bunge la vichaa duniani
2025-11-13 07:17:44
22
akyoo cute🥰 :
I wish Paul makonda nd angefanikiwa kupata hii nafas nchi ungeenda vzur
2025-11-13 08:58:49
1
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2025 TikWM. All rights reserved.