@abdaza_media_updates: RUTO AMESEMA AKIWA KITUI LEO ATI WATU WA UKAMBANI NDO WATATANGULIA MBINGUNI #ruto #kitui #kenyantiktok🇰🇪 #abdazamedia

AbdazaTv
AbdazaTv
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 13 November 2025 08:35:46 GMT
284825
10260
879
752

Music

Download

Comments

kevohkesh1
kesh :
mnaambiwa mtakufa ama ni Mimi naoverthink😂😂😂anyway wantam siku zombo
2025-11-13 11:22:10
363
mushauri.wa.rais
mushauri wa rais :
sisi wakamba tunasema 2tam
2025-11-13 13:13:55
47
captainbrian777
brayoh spinder :
mm na jisema SHA nalipa 1030 per mounth sasa hii ndio campaign yake🤫
2025-11-13 18:09:57
0
kitemamaluki
joxe :
unataka kutupeleka mbinguni kama BABA bila kujua ama unamaanishaje 😳😳😳😳😳
2025-11-13 10:46:22
44
meshack.mwanzia7
Mesi :
WANTAM from Matuu yatta
2025-11-13 10:42:37
43
jk18954
JK :
Ama anataka kutuuwa
2025-11-13 11:05:16
8
musanken_tv
Kenny the poet :
with deep meaning
2025-11-13 10:51:57
51
raybwoywamamake
[email protected] :
yaan mnaambiwa mtatangilia kufa mnashangilia
2025-11-13 17:27:14
0
kamwana.mwenje7
Kamwana mwenje :
ATI wakamba Dio ataaza kua wa kwanza,, wantam
2025-11-13 18:13:20
0
alllie.annylee
alllie annylee :
nani anafikiria kama mm.....jungeni san
2025-11-13 11:13:54
88
antonynjoki481
spoiler mg001 :
chungeni ilianza kaa mchezo akisema atamshafirisha kaa hajielewi
2025-11-13 15:30:29
4
cessjackson
Jeff cennet :
@mshauri wa rais kino kee
2025-11-13 14:58:15
0
nimaggie629
Maggie🦋❤ :
ongea na ukitoka apo ukiwa mbuzi usitulaumu
2025-11-13 14:03:46
7
philice...omini
Philice 🇰🇪🇴🇲 :
Guys mlisema Kalonzo ni mkamba ama na overthink 🤩🤩
2025-11-13 16:07:38
6
staicy.mukii
Staicy Mukii :
Mimi kama mkamba naomba usituue
2025-11-13 14:38:20
24
papoid57
THE TYCOON IN TOWN :
"watatangulia mbinguni"
2025-11-13 16:58:52
0
the_don074
DON :
alisema ivo pia lumakanda😂
2025-11-13 18:11:01
0
mukunga_jnr
MUKUNGA_JNR_7️⃣7️⃣ :
hii ndio parable😂😂
2025-11-13 13:28:44
3
petermaingi625272
Peter maingi :
Hiyo maneno nikama ikona meaning fulani
2025-11-13 11:11:51
4
kezy7
kez :
weuh Io ni kutupromise kifo ....taamu ni imwe
2025-11-13 15:28:46
2
duncolion
ka mutaani :
that was massage to Raila kalonzo kaa radar
2025-11-13 12:45:18
9
keter750
KEVOH FIRST BORN (🐝👈) :
kama wewe ni wa tutam Konga like ✅
2025-11-13 11:00:06
1
rosemuindi773
[email protected] :
ametabiria kalonzo ,,,atapita mbele yake
2025-11-13 17:57:49
1
chinualomog
Shehe Diwani :
huyo hata aseme sarakasi gani ... barabara ni moja sugoi
2025-11-13 18:14:30
0
bishop5068
Nzomo :
Ruto' promising heaven to us the Kambas
2025-11-13 16:14:55
10
To see more videos from user @abdaza_media_updates, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About