@sheikhmaskari1: Kuwa na Dini haimaanishi kuwa mbali na maisha na furaha,kuwa na dini maana yake ni kuishi vizuri kwa wema na ihsaan na mke wako,ukamtimizia haki zake na kufanya wajibu wako kwake,kuishi kwa huruma na mapenzi na upole,ukatanguliza furaha yake kuliko yako binafsi,kuwa na Dini ni kufata dini kimatendo sio maneno matupu.... allah atujaalie tuwe waume bora wenye dini kwa wake zetu.. allahuma aamin #islamic_video #tanzianiatiktok🇹🇿 #zanzibar #oman #kenyantiktok🇰🇪

SheikhMohdMaskari
SheikhMohdMaskari
Open In TikTok:
Region: NL
Sunday 16 November 2025 07:19:40 GMT
14378
1450
35
292

Music

Download

Comments

hijirabakary
Hijra Bakari :
Mume mwenye dini inshaallah
2025-11-16 19:59:43
7
hansom918
♤♡HANSOM♡♡ :
Assalam alaykum shekh Mohammed, naomba kukuliza suali. Allah amesema ukioa km n fukara basi atawatajirisha,kwnn zama hz ukioa ndio unapata mtihan wa maisha? au amemaanisha kutajiri kwa njia ipi?
2025-11-16 07:26:57
4
majaniaisha.mchal
MajaniAisha Mchala :
Mm nikipata mwenye sifa hizo niko tayar hata akitaka nisitumie sm niko tayar
2025-11-20 16:46:17
0
totolamama17
fatmah :
hapa kwa kunitoa tiktok ndio challenging but nitajaribu bora asinipee pressure awe na subra
2025-11-23 13:57:13
0
ibn_mtembez
Mtembez :
Allah anijaalie niwe miongoni mwa wenye sifa hizo🤲🤲🤲
2025-11-18 07:17:15
2
zamdaa02
honey🤫🌹Zam🖤 :
🥰🥰🥰🥰 insha'Allah nimpate natuione Pepo ya Allah 😭🤲
2025-11-18 06:43:03
1
tr.sumayah
... :
praying for a partner who embodies these qualities ,may Allah write it for us ... Ameen
2025-11-18 12:52:43
1
salma.said4611
Salma Said :
Inshallah Allah atujaalie wenye dini watuongoze Katik mambo ya kheri🤲
2025-11-17 04:45:06
1
user7770849757275
Miss Boss 💝 ❤️ 💖 :
Maashaallah Allahuma Amiin
2025-11-18 09:45:59
1
queenamish123
@Malesh034 :
Mungu anijalie mume mwenye dini Ameen 🤲
2025-11-18 10:48:48
1
swabrinah21
CEO Swabrinah 🇰🇪💍🇸🇴 :
shukran sana kwa ukumbusho
2025-11-18 12:41:50
0
ahb38
AHB7486 :
yes huy ndie anaehitajika
2025-11-17 13:40:42
0
user4460092348525
user4460092348525 :
shekh huongez mkee nikawa sijui wangapi au ushatimiza 4
2025-11-16 21:40:31
1
tabiachai
💔💔💔🔐 :
Allah atujaalie 🥰🥰
2025-11-17 21:33:46
0
hashnunhashim
🦂🐜🕷️🐍 destinations 🧏 :
Mtume S.A.W alipo tuambia kuhusu swala la dini alikua na mana kubwa 🤔
2025-11-17 08:16:50
0
cobe_.24
乃RYANT 🗿🇹🇿 :
Mtu anaina kama unamuonea 😒
2025-11-16 10:43:00
0
ramadhani55135
Ramadhani55 :
mashallah
2025-11-17 15:55:43
0
bv.gz2
Bv Gz :
Allah akbar
2025-11-18 17:22:01
0
hamdounmansour
Hamdoun Mansour :
saivi hawataki dini, wanataka kuwaendesha waume.
2025-11-16 18:45:44
3
luicebeee
luice beee :
Inshallah 🤲🤲🤲
2025-11-20 12:35:34
0
user7339126657010
Nasmira :
mungu nijaalie mwenyedini namtaka hasaaa
2025-11-19 09:45:13
0
user4460092348525
user4460092348525 :
nilitaman hiloo pia sana nilitaman hilooo sana
2025-11-16 21:38:31
0
wahda.ali2
Wahda Ali :
🥰🥰🥰
2025-11-22 21:16:29
0
asma.asma4855
Asma Asma :
🥰🥰🥰🥰🥰
2025-11-21 18:56:59
0
xlma778
rawal 🥰🥰 :
🥰🥰🥰
2025-11-18 19:16:02
0
To see more videos from user @sheikhmaskari1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About