@nairobiloop: Here is How Mike Sonko Arrived to Rescue His pregnant daughter, Salma Mbuvi. #mikesonko #salmambuvi #fyp #salmambuvihusband #foryou
Nairobi Loop
Region: KE
Monday 17 November 2025 12:27:41 GMT
Music
Download
Comments
June :
🤣🤣😂 kama mtoto wa sonko anapigwa hivi Mimi SI wataniua kabisa my Lord 🙆🏾
2025-11-17 13:22:52
1137
🇺🇸🇾🇪🇩🇪🇲🇫🇮🇸🇦🇺🇮🇹 :
😜😜Body guard ndo aliona hawezi kuja site na atoke mkono mtupu😂😂😂
2025-11-17 14:51:08
1348
peshwanyonyi :
bodyguard alisikia wanalipiwa rent wanafanyiwa shopping na fee ya watoi inalipwa akasema mkono yangu lazima iguze mtu 😂😂
2025-11-17 17:02:57
4
winfrdjohn :
alafu kuna babangu ni kunipoint na sigara😂😂😂
2025-11-17 15:50:39
58
Mary Marie :
Body Guard aliskia kijana analipiwa mpaka rent akatokwa na wazimu shashaaa😂😂😂
2025-11-17 15:18:42
219
♊️Řëmmÿ dimples♊️🇰🇪 :
babangu haezi tulisha na haezi kubali nipigwe 🤣🤣
2025-11-17 16:59:33
1
Janet 🦋❤💫 :
monday kijana akuje na wazazi na ream of papers,
2025-11-17 16:41:29
5
lem :
mali n nyingi nyumbani kipi kimekukimbisha ..... msolombo 😂😂😂
2025-11-17 15:56:53
15
tichy :
baba angu atakuja na dogy zote na kuku adi ashangae😂😂😂😂
2025-11-17 15:00:00
44
brenda lisa... :
wangetuma dorea huko😂😂
2025-11-17 15:51:21
10
CH3LSS♡ :
father of the year😂
2025-11-17 16:35:08
34
Ghee Ronoh 🌠 :
Hiyo ya mwisho ni fire extinguisher ama🔥🔥😂😂😂
2025-11-17 15:04:56
25
chela❤️🩹 :
kama wa sonko anapigwa mi si nitatolewa kafara😂😂😂😂😂
2025-11-17 15:41:46
13
aggysherizah :
kama mtoto wa sonko anapigwa mm babangu mlevi si ntachinjwa
2025-11-17 16:51:13
5
Chao :
kama watoto wa matajiri wanapigwa n mm je mtoto wa seremala si nitanyongwa
2025-11-17 15:49:48
7
Dee :
huyo boiz alichokoza elchapo😂😂😂
2025-11-17 13:14:22
31
lyz montana :
babangu alisema nimuekee za chrome kwanza aone njia vizuri ya kukuja 😭😭😭😭😭
2025-11-17 16:33:40
9
Suga Girl 💕🫦 :
😂😂na sasa kuna baba yangu kazi ni kuongeza mabibi ata hajui watoto wake😂😂
2025-11-17 16:36:30
2
Bety :
Walileta mjinga Kimonda bodyguard 😩😩😂😂
2025-11-17 13:03:08
70
Annytahree Kifee back up💦❤️ :
😂😂😂😂makosaaaaaaaaaaaa lakini dem akikumbuka diklofenaaaaa anatokwa na wazimu mwenye mrija akipewa kofi😂😂😂
2025-11-17 12:59:51
97
✧𝚂𝓪𝓷𝓭𝔂𝔂𖤐 :
akikumbuka kichapo cha mtoto wakeeee,,,, anatokwaaa na wazimuuuuu😔😔😔
2025-11-17 13:34:19
12
UMMY 'T'💞💞 :
jehova kuna mtu anapiga source of income 😭😭😭
2025-11-17 16:20:58
5
Ms mutinda :
kwani walikua na mpaka fire extinguisher 😂😂😂
2025-11-17 13:25:06
7
user aJoypuriy :
babangu angekua sai ameshakuweka panga uko sayuni 😂😂😂
2025-11-17 16:20:37
5
Karry☦️ :
Ypuve got to be kidding me na huyu jamaa anakaa ivi😩😩😩
2025-11-17 16:31:49
2
To see more videos from user @nairobiloop, please go to the Tikwm
homepage.