@tv47_ke: Wakazi wa Kiambu: Wakati Hayati Raila Odinga alipofariki, siasa za upinzani zilidorora pia, kwa kuwa Wakenya wengi wamekuwa wakiunga mkono upinzani. Serikali iliposhindwa kutimiza ahadi zake kuu kwa wananchi, ndipo nguvu na misingi ya upinzani ilipoanza kuibuka upya. #TV47Matukio @joashonsare
TV47
Region: KE
Tuesday 18 November 2025 09:42:26 GMT
Music
Download
Comments
Petito Puyol :
wacheni wivu kenya ni ya wote si jamii moja ruto tano tena
2025-11-18 14:38:47
18
zad :
pia muende rift Valley, kisumu, coast tuskie maoni
2025-11-18 11:22:45
4
Caretaker F2 :
serikali itakua Wantam ☝️ndio oposition ijukue kiti ndio watareta ukombozi wa nchi hiii🤣🤣🤣
2025-11-20 01:52:02
0
Ali iddi mwangi :
ukwelii ukwelii mtupuu
2025-11-18 09:54:02
5
mnoko :
Mambo ni TUTAM
2025-11-18 11:19:37
11
independent thinker :
tutam is unstoppable
2025-11-18 14:49:55
7
mutuambae3 :
Ama north eastern,,,Turkana
2025-11-19 10:24:28
1
Stevens :
upinzani imekuja kwa Kikuyu kizeee😂😂😂😂
2025-11-18 16:56:30
0
The Retired kenyan. :
nko thika✌️
2025-11-18 18:54:53
0
Michael O :
kabisa bro umesema ukweli
2025-11-19 07:55:03
0
Moxamad :
kama president si mkikuyu always wanaleta shida. wanafiri awao ndio wanafa kua Rais peke.
2025-11-19 09:36:58
0
MODY ORLANDO :
jina yako ni nani alafu ndio tupime maji na unga
2025-11-18 17:55:05
0
kipchumba number chafu 23 :
upinzani ni wakikuyu
2025-11-19 11:24:35
0
Gianna :
one wantam
2025-11-18 13:11:02
2
Eric Mathew murigu :
unasema nini
2025-11-18 16:01:14
0
Joseph Namton :
Ruto kumi bila break
2025-11-18 22:21:21
0
Eddy Arapkinembe :
Ascent ya mkikuyu tayari fala hii
2025-11-19 09:35:19
0
Augustine bouy :
kweli sisi wsnsinchi ndio wapinzani kabisaa
2025-11-18 14:57:07
1
Frank Martial :
upinzani iko mt kenya pekee....I'll support ruto mpaka pressure iwamalize kapsaaa.
2025-11-19 08:46:14
0
Dennis Be 🇰🇪 :
Kikuyu tv 😂
2025-11-19 09:42:57
0
. :
wakikuyu mkae upinzani. na mkule ugali huko mambo ni ngumu.
2025-11-18 15:39:59
0
saina🇰🇪🇩🇪 :
niliacha vile niliskia eti ware badala ya wale😂
2025-11-18 15:25:24
0
Tabu yuwa nina❤️ :
Ukabila pooo
2025-11-19 04:15:29
0
MODY ORLANDO :
wananchi ama mkikuyu 😁😁😁😂🤣🤣
2025-11-18 17:56:37
0
odu329 :
Tutam
2025-11-18 11:33:20
4
To see more videos from user @tv47_ke, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2025 TikWM. All rights reserved.