@shujaa.humphrey: #shujaahumphrey

Shujaa Humphrey
Shujaa Humphrey
Open In TikTok:
Region: KE
Tuesday 18 November 2025 15:43:54 GMT
88007
3764
343
140

Music

Download

Comments

david.mukami
David Mukami :
Mimi yangu nimechapa cup tatu nikaanza kuimba wantam🤣🤣😂.
2025-11-18 16:30:24
299
jojoscofield752
JoJo Scofield :
UDA will win but I will vote for karish
2025-11-19 06:16:08
1
ndirash001
Ndirangu :
semeni Tu ni 250... eti Mia tano watu wawili
2025-11-19 14:35:32
0
sapper400
sniper :
pesa ni yetu tukule kabisa,chama za mt kenya DCP
2025-11-20 20:39:50
0
nastybwoy45
nastybwoy45 :
afadhali uyo anapeana kakitu kuliko uyo anatembea na chai yake
2025-11-19 14:09:46
0
theeexplainer
Thee Explainer🌹🇺🇲🇰🇪 :
Ata kama ingekuwa wewe unamvotia mtu haujakula kitu chochote kutoka kwake?? Kenyan politics is All about money
2025-11-19 09:05:34
1
wilshereonyango
Nolan Risper :
ndio unasema ni ujinga... na kuna mtu ameshukuru ametapata chakula kwa leo ww umetumia mathe kitu leo sio matusi ni Swahili
2025-11-18 15:55:50
6
mubaba92
Cj🇰🇪 :
onyesha ya gachagua pia akipeana pesa,wacha kua fala,politics is money, nothing new
2025-11-18 16:15:51
5
andrew.kipz78
Chicharito 14. :
wacha ubuzi mtashindwa mapema ata mkitanganya watu ata wakipewa kwani pesa n ya mamako si mupeane ya opposition
2025-11-19 04:04:58
0
user5939262815026
boaz :
akhi ruto ako na pesa
2025-11-19 06:34:45
1
kimdavido
Benson kimani :
After kupewa tulienda tukisema wantam😅😅😅
2025-11-18 19:31:41
36
lukes4399
no 7 :
wakule Doo but kwa ballot ni karish
2025-11-18 19:17:06
20
puritynjeri162
Purity Njeri :
mnauza kura zenu
2025-11-18 16:07:05
2
opetsi
Ameka O :
How I wish President Ruto could have invested the finances on Health, Agriculture and Roads.
2025-11-18 17:55:35
0
cate.murugi
Cate murugi :
pesa ya campaign mko nayo bt when it comes to health and education hakuna confused government
2025-11-18 22:38:44
1
727334122maxwel
Maxwel kipkoech :
Mimi zangu nilitumia kama fare kuenda meeting ya Riggy G😂😂😂
2025-11-19 10:11:50
3
dmitri37515
Dmitri Иванович :
ndovu asizikwe na pembe😁, kuleni pesa lakini muthende apana
2025-11-18 18:59:34
18
jonesngovi
Jones Ngovi :
Sasa hii ndio ile ujinga tunakataa, imagine mwapewa Miata na mnaangaika miaka mitano
2025-11-18 15:49:41
52
trueafrican46
Buffalo⛰️🐃 :
Wakule pesa na wajue tīgīru mp mbeere north nī karis.
2025-11-18 16:18:08
0
alexoo7281
WANUNGA :
Mimi nimepewa yangu nikamwambia bado ako na change,ilikua thao
2025-11-18 20:18:36
3
lucykamau7481
lucykamau7481 :
pesa tutakula alafu kura ni karis
2025-11-20 02:08:16
4
thegrim35
muthui :
this era of political handouts should end
2025-11-18 20:39:42
6
user9714470060846
marcdonald :
kuleni pesa ni yenu bt mjue mahali mtawekelea kichwa😅
2025-11-19 17:45:08
4
user94_62
User94_0 :
Ukiguza comment yangu nakuitia mechi🥰😂
2025-11-19 04:23:31
3
nice.one34
nice one :
pesa msikose kula sababu ni haki yenu lakini mambo ni wantam 🔥
2025-11-19 02:35:53
3
To see more videos from user @shujaa.humphrey, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About