@apostlejeremiahkioko: Kupitia maji haya ya upako kama ishara ya imani, chochote kinachokuzuia, kinachochelewesha safari yako, kinachokupigania usimalize na kinachopinga ndoto zako— kivunjike, kimevunjika, na kitaendelea kuvunjika katika jina kuu la Yesu! SUNDAY ITAKUA SIKU YA KUOSHA MACHOZI YA UZUNI KWA YA FURAHA. USIKOSE.#fypシ゚ #fyppppppppppppppppppppppp #viral #tiktok #tiktok #fy #trendingvideo #fyp