@championkicks1: Can you cook for 3000/= Pt3 . To be fair it taste so good ,I appreciate Mueni’s honesty and genuineness. Great personality from the get go thank you so much and like the video for her to win a pair . @mueni 😍 #shoeshop#fyp
Githeri ya 50
nyanya ya 10
kitunguu ya 5
na maji ya free
2025-11-22 12:45:52
37
Hon Shaaban Juma :
Watu wanasema amepewa 3k na akaleta githeri wanafaa wajue keeping promises is the most important thing. Yeye kutokelezea its much more expensive than the 3k. Big up to her.🙏🙏🙏🙏. Alafu githeri ni food amazing kwa ma Boss. 😂😂😂😂
2025-11-22 15:34:02
41
Nora :
Next time akipika mafuta aweke githeri kidogo
2025-11-22 15:11:24
19
Eldoret Night life :
Juu ya hio story wase wakumi wapaste number zao niwaeke 400 each. the first ten only
2025-11-22 12:05:48
20
Cambi_ke :
Huyu Nikama alienda Akabuy ady gas na viombo🤣
2025-11-22 15:44:41
3
ugumbo ogumbo :
if not script then ivi ndo huwa mnagongewa 😅
2025-11-22 11:31:05
325
sharon99 :
Mafuta ndio ya thao mbili ameweka yote 😂😂😂
2025-11-22 14:00:11
122
@Master :
Mimi ningemwambia aonje kwanza for obvious reasons
2025-11-22 13:48:52
17
Jumafredrick. :
Mueni 3k unaleta githeri ya 50😡😡
2025-11-22 16:25:32
0
kevin ngao :
amesema anapenda maharagwe😂.
guys?
2025-11-22 12:27:08
41
Better n best :
its the honesty for the girl... its worth more than 3k
2025-11-22 14:26:43
6
Denolion🇰🇪🇦🇺 :
nimeona hio soup😂nikajua tu Ni mkikuyu😂
2025-11-22 15:05:20
8
Anthony :
All eyes onthe crocks😂😂
2025-11-22 15:18:55
4
️ ️Javan Sean :
ikifika thao mniite
2025-11-22 11:39:19
18
cooper weche :
this guy is supporting this lady bt wenye wivu
2025-11-22 16:19:15
1
davis en david :
Huyu hawezi kula fare
2025-11-22 14:18:04
5
Pish :
Ako wapi ule dame mwingine
2025-11-22 11:52:53
5
ottovigoz :
Ungeongezea chapo
2025-11-22 15:17:11
2
Séñìør Shërīff :
kwa 3k umetumia 100😂😂
2025-11-22 11:37:07
172
Armstrong254 :
Nikona 3k. naoffer kwa kale kafupi pia 😂
2025-11-22 11:34:19
43
KARANJA 01 :
as an actor, I have to ask myself about costumes za mrembo, it could be it was shot the same Day 😂😂
2025-11-22 11:51:10
16
To see more videos from user @championkicks1, please go to the Tikwm
homepage.