@sheikhmaskari1: kwa wale wenye nia na dhamira yakuoa ni vile mambo bado hayajakaa sawa tu,namuomba allah awafanyie wepesi waoe na baraka ijae katika ndoa zao na maisha yao kiujumla ...aamin #islamic_video #tanzianiatiktok🇹🇿 #zanzibar #oman #kenyantiktok🇰🇪
SheikhMohdMaskari
Region: NL
Sunday 23 November 2025 07:19:39 GMT
Music
Download
Comments
omymsomal :
huyu ndo shekh wetu 🤣
2025-11-23 11:03:56
85
Am single :
Na waliyooa tunakula nao kwa mama ntilie😂
2025-11-23 11:52:42
30
khanniebaraka8 :
Kuna sisi hatujaolewa maneno yatuumiza huku nje
2025-11-24 11:58:15
0
bénit par coeur :
Shucran
2025-11-23 17:16:17
0
lassana :
Tumepata mtetezi wetu 😂
2025-11-23 15:43:11
17
leckson_tz :
afadhali ni pumzike kidogo mkombozi wetu umekuja😁😁😁
2025-11-24 04:04:10
5
chidada :
wengi wao ni wachoyo sana
2025-11-23 21:40:53
0
💲💎$TËV£💎💲 :
SHEIKH mitano tena😂👍
2025-11-23 17:25:15
9
Aarly :
shekhe waswalisha masjid gan niwe nahudhuroaia😂
2025-11-23 12:31:03
3
Azhar_004 :
shekh kanyooka sana💯
2025-11-24 04:40:05
3
Mahmoud Mohad :
Ma’Sha’Allah Allah akupe umri mrefu na afya njema sheikh 🤲🏼
2025-11-24 04:51:53
2
asumanii :
alhamdulillah leo tumepata mtetezi
2025-11-23 15:17:29
0
Machinga wa forex :
shekhe apewe ulinzi kutoka FBI.... nitalipia gharama zote😄😄😄😄😄
2025-11-23 20:20:19
2
Nurdin Professional :
ajengewe sanamu lake huyu shekh wallah🤩❤❤🥰😁
2025-11-23 12:53:29
6
Francis Mashirano :
wakuolewa Yuko wapi was chana wote malaya
2025-11-23 15:02:04
9
simbaabdillah4 :
Allah akuhifadhi akufunike naradhi zake naakuingize peponi akusamehe ulipo tereza brother kweli kabisa Kaka.
2025-11-23 12:17:24
4
Psychotherapist code 2.3 :
good 👍 👍
2025-11-23 10:28:31
5
🦋muu🦋♥️ :
una maneno mazuri km hayo alafu nikunyime like sio kweli♥️♥️♥️🤝
2025-11-24 06:12:32
6
MR DEJO :
alafu usisahau sio Kila mtu kaletwa duniani kwa ajili ya kuoa ..Kila kumbe kina kazi yake ⛷️
2025-11-23 19:59:36
1
@robaawagethorai :
shekhe usifiwe uhimidiwe. shalom
2025-11-24 03:44:38
0
I. Mhina :
Waambie shekh nimechoka mimi kuwajibu sheikh wangu
2025-11-23 17:55:27
2
zak ever happy 😊 :
Ni kweli ila wasisitizie wanao uwezo waoe 😂
2025-11-23 17:10:36
3
McTale Aloufy :
SHEIKH WETUU🔥🔥🔥😂😂🙏🙏
2025-11-23 11:45:19
2
BADEST PUBG😈🇹🇿 :
baba hizi kofia unazitowa wap daah na miee sheh wang plz
2025-11-23 18:03:45
0
Leyman :
Asante sheikh wetu😂 maana walimwengu na wahenga walikuwa wanatuwashia moto sana kama Tumeua
2025-11-23 12:30:19
4
To see more videos from user @sheikhmaskari1, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2025 TikWM. All rights reserved.