@unique_fatma2:

unique_fatma2
unique_fatma2
Open In TikTok:
Region: OM
Monday 24 November 2025 06:10:46 GMT
31350
800
87
209

Music

Download

Comments

swaggzathletes
Muu Athletes :
Assalam alykum warahmatullah wabarakatul. Kuoa wake zaidi ya mmoja si sunna bali ni faradhi kutokana ni amri ya Allah ndo alotuamrisha kwa kusema tuoe wawili ama watatu ama wanne kama tukiona hatutaweza kufanya uadilifu baina yao basi mmoja anatosha na kufanya ivyo ndo kutafanya tusikithirishe watoto. SALAAM 🥰
2025-12-09 19:08:01
2
saalimob
OBS- Bakhresa :
SUNNA KUOA MWENYE UMRI MKUBWA ?? Dalili ?
2025-12-09 20:13:45
0
fakihamick
chimamy🥰😘 :
hawajui kama kufunga juma tatu na alhamisi pia ni sunnah😂
2025-12-09 14:50:28
2
abuu_00001
أبو حفصة :
Assalamu Aleikum Warahmatullah Soma dini vizuri, uache kusunnisha visivyokuwa sunnah!
2025-12-06 11:39:18
3
ecier97
Ecier97 :
Atokee mwenye kujua hz sunnah tuoane nmechok kuumizwa🥹
2025-12-09 19:29:28
1
arapty.4
OPܔ Shark★࿐ :
umejitahid kuropokwa
2025-12-09 15:25:34
1
losing.nu
losing nu :
kuoa mwanamke mkubwa mjane sio sunnah
2025-12-08 18:13:29
1
cuteevra3
Cute evra3❤️ :
Mm naongezeya yangu ni sunna kumpa mwanamke wako pesa😁😁
2025-12-09 18:38:55
1
user593238834541171
🦋❣️Niamh🩵🦋 :
mke wa pili ni mnafikii na mgombanish kama raha atafute mume wakee
2025-12-01 22:04:31
4
jay534278
Jay :
Baada ya hayo ya mke wa pili anafuata 😂
2025-12-09 19:44:16
1
ahmad.ahamad77
Ahmad Ahamad :
sunna za MTUME [s.a.w] ni nyingi sana kwa hiyo mtu hujichagulia azipendazo na aziwezazo waacheni watu na uhuru ktk kufanya sunna msiwafunge ktk zile mzitakazo nyinyi
2025-12-09 13:17:20
1
kulwaomary545
tonga' boy :
kufuga ndevu
2025-11-25 08:13:09
3
hadia.oman
Hadia Oman :
No 2. Sio Sunnah ni wajibu wa mwanamme kufanya kazi za nyumbani isipokuwa chumba na kitanda
2025-12-09 18:10:40
1
hababuuomar_77
Hababuu Ali :
Tutafanya Sunna tupendazo usitushughulishe
2025-12-09 17:45:07
1
user9447726803513
zahra de baby :
wanazijua ss hiz zengin
2025-12-08 12:42:15
2
yildiz_kenan7
king Yildiz :
hakuna ambayo sijafanya
2025-12-09 16:14:02
1
dev__2557
dee :
nmependa hiyo iliyo kwenye kikombe
2025-12-09 14:25:18
0
kwebaqute1
Kwebaqute💘💚💛🙈 :
naaam
2025-11-26 18:30:52
1
wetetown
WeteTown :
kama?
2025-12-09 17:37:16
1
maulidcooks
Maulid_cooks..🇰🇪 :
Hio sunnah ya kuoa aliekuzidi umri nayo iendane na sunnah yenyewe, awe na pesa kama Nana Khadija r.a alivyokua.. 😅
2025-12-09 19:11:45
1
asher_wigs
Asher_Hair :
@Baba imran Umeona sunnah izo
2025-12-09 20:48:18
0
naah10601
Tanganyika is saved :
@خوموري🌍 soma ueleww
2025-12-08 07:01:57
2
midnight_soul090
midnight_soul :
😂😂😂
2025-12-09 13:25:01
2
sweetybarbie6
Sweetychim💕🍭 :
@Chimlove 🩷
2025-12-08 22:51:17
2
unique_fatma
Unique_Fatma :
😄😄
2025-11-24 07:38:40
3
To see more videos from user @unique_fatma2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About