@bbcnewsswahili: Waziri mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba amesema kuwa Tanzania inawindwa kwa rasilimali zake. Ameyasema hayo wakati wa mkutano wake wa kufanya tathmini ya athari ya machafuko ya wiki ya uchaguzi nchini humo. Tanzania ilishuhudia maandamano na vurugu wiki ya uchaguzi mkuu wa oktoba 29. #bbcswahili #fyp #tanzaniatiktok #kenyantiktok #foryou
bbcnewsswahili
Region: TZ
Monday 24 November 2025 13:27:45 GMT
Music
Download
Comments
Football pundit. :
Kama Tanzania 🇹🇿 ni nchi tajiri mbona mnaomba mikopo nje?
Kumanyoko!
2025-11-24 13:37:20
154
Amos Cyprian :
kwahiyo Mwaka 2025 ndio Rasilimali zimekuja nchini 😂😂
2025-11-24 13:46:12
67
kanje tz :
Ama kiongoz hum mwizi
2025-11-24 19:20:34
2
Gift :
Mama kasema tuna rasilimali chache usimbishie
2025-11-24 13:37:33
57
Kalila :
Huu ni ukweli, tangu uranium imegundulika matatizo ndio yakaanza. tuamke
2025-11-24 14:03:49
4
user2161145215512 :
😂😂 SHIDA MNATEKA WATU NA KUUWA WATU ALAFU MNATAKA TUTULIE
2025-11-24 13:41:03
33
Tarik_3003 :
Anaongea na Nani?!
2025-11-24 13:32:02
39
ANYO⚓️🚢 :
Mbona mama kasema tuna rasilimali chache ?😳
2025-11-24 13:49:59
15
NeoBraxy :
😂😂😂Larry Madowo kawachemsha waTanzania 😂😂😂
2025-11-24 14:07:04
3
tajiriKwanza :
hawa hawana umoja...yaan huyu anasema hv huyu vile
2025-11-24 20:11:52
0
B.O.B 98 :
ila jamani sisi tuna rasilimali chache...huo utajiri umetokea wapi tenaa
2025-11-24 14:01:31
17
esir dobest :
nikweli kabisa wazungu wanataka kupora tanzania watanzanie muwe makini sana
2025-11-24 14:53:32
2
Alhikma bin Nassor :
Sisi hayo yote uliyoyataja tunafaidika vipi?
2025-11-24 14:11:28
14
Kilatya Erick :
Then why go for loans if Tanzania is that rich..
2025-11-24 14:43:12
2
naima seif :
nyoko wewe adui wetu ni nyie hatuwataki
2025-11-24 14:37:38
2
soli0202 :
daah kumbe mwaka huu ndo tumepata madini ... kumbeeee
2025-11-24 13:55:14
7
emmaxendru1 :
si mama la mama kasema nchi ina Rasilimali chache shida kila mtu anaongea analolijua yy😂😂😂
2025-11-24 17:26:19
0
FEMONE SHOP🙏🙏 :
Tatz hizo Mali mnazifaidi viongozi tu na sio wananchi kwa ujumla
2025-11-24 15:15:55
0
mushauri wa rais :
wewe na huyo samia wako ni makuma tu
2025-11-24 14:38:12
13
Ms lee :
mbona bibi mnywa damu kasema Kuna asilimali chache....tumuekewa nani sasa🤔🤔
2025-11-24 13:55:20
4
nepal :
sasa uwa pesa mnakopa za nn
2025-11-24 15:34:43
2
Chapaa fundi :
Sasa Huwa mnakopa Hela za Nini kama ni matajir
2025-11-24 14:21:05
8
Shemgaa Mazisho :
🤣🤣🤣🤣🤣
Maamae mmekosa point sasaaaaa
Izo rasilimali mmezigundua leo?
2025-11-24 14:46:51
5
Victoria Banga :
samia si amesema nchi yetu inarasilimali chache ndo mana tunategemea mikopo😥
2025-11-24 14:01:08
19
Rex :
Acha porojo
2025-11-24 13:54:08
9
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2025 TikWM. All rights reserved.