@mcshondelive: MCSHONDE akiwa ndani ya Power Breakfast ya Clouds Fm amefungua SEVA na kutuletea faili la Singapore - Nchi iliyotoka kwenye umaskini mkubwa.
inshaallah ipo siku na Zanzibar yetu itakua na mamlaka kamili na italeta mabadiliko kwa raia wake Allah kareem
2025-11-25 13:44:27
42
Ramadhani Ibrahim :
nashukuru sana kwa kunifahamisha, Yan leo ndo nimejua kuwa Singapore ni nchi dah...!! mm nilikua najua Singapore ni mji au mkoa ndani ya India, aisee ubarikiwe
2025-11-25 09:29:15
71
Bai :
🤣🤣🤣🤣 naicheka ccm miaka 60 walicho fahuru ni ufisadi.
2025-11-25 15:38:18
53
bm :
mbn ya nchini kwenu hamuongelei
2025-11-25 10:03:51
21
Kansela55 :
D9🔥🔥🔥
2025-11-25 09:09:55
11
mkuria_pipo :
TANZANIA IS NEXT 🇹🇿 💪🤝
2025-11-26 01:22:25
5
abu imran :
alafu kuna mtu anamsifia nyerere.
2025-11-25 15:42:47
5
Its_beny01 :
Halafu kuna nchi yangu Tz 😭
2025-11-25 14:13:43
18
ꪑꪮꪊ𝕤ꫀ𝕣_ᥴꪀ :
inahitaj viongoz waadilifu sana kufanikiwa
2025-11-25 15:59:45
15
Ngosha :
sisi tumejalisa rasilimali ila viongoz ndo hatuna
2025-11-25 12:26:25
11
Strong Wind :
ndio maana tunapambana kuachana na CCM Miaka 60 ya Uhuru Hadi Leo wanahubiri Barabara na Maji 😂😂😂 kama mijinga hivi
2025-11-26 05:27:05
8
ES Newstv :
nchi ya kuigwa duniani
2025-11-26 07:26:29
5
DANIEL ROYAL EMPEROR :
Hala😭fu kuna Tanzania ina rasilimal za kutosha halaf njoo kwa hao viongoz sasa 😭
2025-11-25 15:20:12
7
Juma Khalid :
tutaifanya Zanzibar kuwa Singapore kiongozi mmoja kasema hivyo lkn kuna hao mazumbukuku wa ccm unajuwa wamejibu vupi Singapore musimfuwate huyo ana wadanganya dah ccm kweli ni mijitu dhulma na ufisadi
2025-11-25 17:21:10
5
RAFIKI WA FAIDA :
uku kwetu uchawa umewaja nikusifia tu Kila kitu Ili tu matumbo Yao tu yajae bas
2025-11-26 10:50:15
1
MOVIE BOX :
hawa ndiyo viongozi ☺️☺️
2025-12-07 04:06:06
3
tukumbushane mema@ :
swali..ukubwa wa hio nchi ni sawa na nchi gani hapa African??
2025-11-25 13:48:51
1
Starboymarkoofficial :
corruption yetu na greed of politicians haiwezi ruhusu nchi zetu kuwa kama Singapore
2025-11-26 05:34:12
3
Mr black 😎 :
alafu mtu anaimba mitano tena mavi kichwani
2025-11-25 19:05:50
4
j_pizzo👑 :
shida tanzania haijali vipaji kabisa
2025-11-27 05:15:23
3
Gwaki Masetta :
Dah, clouds media huo ni uhaini mjue
2025-11-25 19:14:09
4
To see more videos from user @mcshondelive, please go to the Tikwm
homepage.