@flinchclassic1: Ila combination ya MB dog na madee ilikuwa noma@001Music🇰🇪 @OLD MusiC 🎶 #tiktokkenya🇰🇪 #foryoupage #bongotz🇹🇿

OLD MUSIC 🎶🎶
OLD MUSIC 🎶🎶
Open In TikTok:
Region: QA
Tuesday 02 December 2025 01:17:18 GMT
19986
1226
38
83

Music

Download

Comments

mr.transporter4
Mr Transpoter4 :
🎶🎵 alivaa sket ya kaki na kitop cha blue alikuwa na mapozi zaid ya yule wa blue kitop kiliandikwa jo karibu BUNJUMBULA alikuwa mnyenyekevu ila ni mjanja wa sula hii verse ilikuwa verse yangu pendwa
2025-12-03 14:12:27
7
otis_morrison
OTIS MORRISON :
radio n weasel wa Tz
2025-12-03 18:50:11
1
sulemoney2
Bin Suleiman :
sagaplasha my favourite song
2025-12-04 14:27:48
0
psuccess16
Nembo ya Ukoo👁 :
saiviii tuna bang na "Tia helaaa😅😅
2025-12-03 01:15:24
2
amansimoni
Semundi :
Nimeirudia mara 21
2025-12-02 11:09:24
3
001.music1
001Music🇰🇪 :
Kubwa sana
2025-12-02 14:42:10
1
paulmbuthia761
Real Paul254 :
Oyooh enzi zetu bana kweli nishazeeka 😅😂🤣🤣
2025-12-03 07:50:30
2
imviable
I'm Side :
nyimbo yangu kila nikinunua smartphone festsong
2025-12-03 05:16:38
1
user282533209702
Mwanake :
enzi zileeee👌
2025-12-04 13:50:21
0
dilip.adhikari.wi
DILIP ADHIKARI 'WIKI' :
vai 🥰
2025-12-02 07:07:48
1
mustaphamwinyimkuu
MUSTAPHA MWINYIMKUU :
sasa ivi mziki umeingilia yani du!😭😭
2025-12-02 15:14:54
1
alex.garama4
Alex Garama :
Daaaa
2025-12-02 02:48:24
1
user5463569773494
user5463569773494 :
daaaaaa kitambo sana
2025-12-02 09:46:40
1
joshuakalama
Lizzo Boy :
hizi nyimbo haziishi ladha ❤️❤️
2025-12-02 06:49:21
2
ksistoturuka
ksistoturuka :
wow!
2025-12-04 10:47:22
1
tbtmovie1
TBTMOVIE :
watu waliimba kitambo bwana🤗
2025-12-03 18:27:49
1
thegrandson92
TH3-GRƄD$ON :
man Walter aliuwa sana kwenye beat
2025-12-02 22:53:36
1
slimherozwear
HEROZWEAR :
SAGAPLANJE
2025-12-02 12:55:13
1
user27149184025205
Josee Menza :
waaa ❤️❤️❤️
2025-12-02 18:49:55
1
0608babu
Babu swaleh :
old is gold
2025-12-02 05:47:36
2
botha_chilango
Don Botha :
🔥🔥🔥 kitambo I say
2025-12-02 14:18:12
1
lianamtha
Lia Namtha :
Sagaplashi
2025-12-02 07:56:34
1
maxrchuga3
Golden boy :
jana
2025-12-02 17:29:28
1
breymbasa
Brey Mbasa :
Achane mchezo Haka Kajamaa kalikuwa kanaimba nyimbo zenye hisia
2025-12-02 11:59:32
2
lianamtha
Lia Namtha :
Zama hizo ma video vixen hawahitaji ma makeup mengi, na urembo wao mtauzungumzia mitaani, mziki wenyewe uko pure hauna mambo mengi beat zimetulia yani zama hazirudi. 🤗
2025-12-02 07:59:42
1
To see more videos from user @flinchclassic1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About