2yrs,,, 😔😔anaenda wapi,, na vile amenyooka,,, woiiii pole Mr sir,,,
2025-12-05 22:55:53
0
kylaboris :
Translation ndo hii pigana pigana kabisa mmmh pandisha kabisaa😁😁 ni Langata gani unataka kwenda ?fight,fight kabisa wewe mtu unajua lakini ni wapi nimetoka? unajua mimi ni kiumbe gani?eeh!fight vita kabisa piga nduru ya vita basi amka uwende hiyo langata unataka kwenda..mimi ni mtu nimejitoa uhai hauko na mimi yale nimeyapitia yamenitosha si hapa kwa nyumba yale nimeyapitia yamenitosha si hapa kwa hii nyumba uende penye unataka kwenda ujinyonge na uko si hapa kwa hii nyumba uko na plan B ndo maana unafanya vitu unafanya ni kitu gani tunafight na wewe? uwezi kuniita mtu mimi... uko na plan B nifight unipige vile unataka nipige vile unata uwende jela mimi siwezi kukupiga i ll' not raise my hand over you not a day fight vile unataka uwezi kaa kwa nyumba ukuulizwa kitu unaanza kuuliza watu kama tunajua kule umetoka penye umetoka tufanye aje sasakabla ujaoa mtu mwuulize kule ametoka penye umeyoka si shida yangu God ll' fight it out my naskip words mnaelewa😁🤭kama utaki kuishi na mimi niambie kwa amani usishinde umeleta issues hazina miguu😂uwezi kua kama mzee mimi si mzee nilioa hapa😁😁sikuoa mzee uko very stubborn guys mamangu ananicall katika ya umbea😂😂😂 mseme kama mnataka niendelee😂😂
2025-12-03 17:55:29
369
FelixFrancis :
anapause hadi nathani ni AI😂😭
2025-12-02 14:32:40
2189
🤍Liz coolkid💦🥵 :
Despite all she is a good listener 🤣🤣🤣
2025-12-03 14:39:39
464
Lenzo :
amevaa purple?
2025-12-02 12:10:18
2565
user3937408166093 :
Vile amerusha mguu haki haiezi rudi chini. Natomba hadi saa moja jioni
2025-12-02 13:00:43
233
Hilker💯😋 :
hizo teke jooh 😂😂🤣🤣
2025-12-03 14:14:56
175
Thee_Playlist :
Aki thank God hawajaongea Kiswahili..Leo wakisii tungechinjwa for Christmas
2025-12-02 18:19:52
278
mwagatuga@asili :
still trending 8 years later?
2025-12-02 11:15:01
544
pepper254 :
Na mbna anashinda akikaa kistachu😂😂😂
2025-12-03 18:22:53
75
💜🦋 Savege Queen 👑 🥵🤗 :
Kuliletwa mojingaaaaa😭😂😂😂😂😂
2025-12-02 17:52:10
41
nyaboke🇰🇪🇰🇪 :
shida ya waluhya huwa Nini lakini 😂😂😂🤔
2025-12-03 12:32:19
50
Christine Onkangi :
Let me translate as a good Christian,the man in deeply in love with mercy from nyeri,Sasa mercy walikosana na neiba anajaribu kuonyesha mzee wake vile jirani alikua anainua mikono n miguu kama jackchan,the man is thanking his wife for not fighting their neiba back
2025-12-02 19:44:52
62
@sandrakevo :
huyu bwana lazima akue ni mfupi😂😂😂
2025-12-02 15:12:02
96
user57143369913 :
mtu anielezee nasikia two years sijui ni 2yrs ya nini
2025-12-02 13:39:17
17
SJW.YSC :
When you marry from Nyamira be ready 😂
2025-12-03 03:39:00
270
Bettymorry@254 :
Amesimama unadhani n AI 😂😂🙌
2025-12-05 18:43:38
6
MarchEarlier🌀 :
ndo maana sipendi bibi wakutoka Nyeri😳😳🤭🤭😂
2025-12-02 18:51:52
31
Happiness💜 :
despite she is a good listener though 😂😂
2025-12-05 19:17:24
3
brily wanja :
napenda tu venye anakaa nikaa robot na anaskiza bila kutingika🤣🤣🤣
2025-12-02 14:24:05
106
Bonny Mose $$$ :
pia mimi napitia same problem,,,, nani akona roho safi tuishi na yeye🤣
2025-12-05 23:01:32
0
@TOP _ G :
hii ni praying mantis unaona vile anapose kma stachu😂😂😂😂
we na io kizungu yako utapigwa thunder kicks😂😂