@mwlrenald.mlawi: NAFASI YA WALIKUJA KAMA MARAFIKI NI NAFASI YA THAMANI SANA NA YENYE KUTAKIWA KUCHUKULIWA KWA UMAKINI WA HALI YA JUU KUNA WAKATI UNAHITAJI HEKIMA YA KIMUNGU KUELEWA WALIO KAMA RAFIKI NDIO WANAOTUMIKA KUKWAMISHA MARA NYINGI KWA KUKUFITINI KWASABABU YA JINSI WANAVYOKUJUA AU KUKUFANYA UWE COMFORTABLE KWENYE MAMBO YANAYOKUHITAJI KUAMKA NA KUPIGA MBIO SINA MAANA TUSIWE NA MARAFIKI NINA MAANA KULIKO RAFIKI MWENYE KUKUZUIA USIFIKIE HATIMA YAKO HAFAI... NIMEJIFUNZA JAMBO MOJA KATIKA BIBLIA WAPO WALIOKUJA KAMA ADUI HATA KWA MAUMIVU NA KUWAPELEKA WATU KWENYE HATIMA. VIPI KUHUSU NDUGU WA YUSUFU? VIPI KUHUSU YUDA ISKARIYOTE VIPI KUHUSU PENINA VIPI KUHUSU SAUL MUNGU AKUFUNGILIE MACHO NA HEKIMA YA KUFANYIA KAZI HILI.

Mwl Renald Mlawi
Mwl Renald Mlawi
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 02 December 2025 09:27:38 GMT
7198
456
32
154

Music

Download

Comments

eclay.nafula
Eclay Nafula :
Amen 🙏
2025-12-03 06:00:14
0
ghislaineruboneka
ghislaineruboneka :
Amen amen kubwa
2025-12-03 03:31:43
0
user3478132040299
PROPHÈTE MOÏSE KITENGE :
Amen Amen Amen Amen merci beaucoup mon papa pasteur de moise kitenge 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2025-12-04 05:40:50
0
user1141771500702
Virginia wawira :
kweli kabisa
2025-12-04 06:25:01
0
user3401215147619
safia msaraka :
nakubali 🙏
2025-12-03 14:13:26
0
agneskarembo508
agneskarembo508 :
ukweli. kabisa
2025-12-03 06:40:46
1
user304492787390
user304492787390 :
kweli
2025-12-04 12:54:11
0
veronicambelesero
lina7777 :
AMEEN 🤲
2025-12-02 17:16:28
1
lydia.kimaro
Lee kims :
be blessed man of God 🙏
2025-12-03 01:06:18
1
user11872319851793
zawadi :
amen amen 🙏🙏🙏🙏🙏
2025-12-04 04:18:24
0
tamarisiwiti3
tamarisiwiti3 :
ameeeeen
2025-12-03 09:38:42
1
emmy4396
Emmy :
Hakikaaaa
2025-12-02 19:52:25
1
user7429132834755
dam wangui :
Amen Amen 🙏
2025-12-04 17:22:23
0
musty3029
Musty@$ :
Amina sana🙏
2025-12-03 03:48:11
0
kanzinzaroza
kanzinzaroza :
Amen, Amen,barikiwa mtumishi wa Mungu 🙏
2025-12-03 22:42:09
0
blandina1237
blandina1237 :
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu
2025-12-03 19:23:38
0
barakazangu
♥️poly♥️💞💞 :
amen
2025-12-04 09:42:25
0
mamaake.seth
Mamaake Triple S😘 :
Amen
2025-12-04 03:47:56
0
gracepius618
gracepius618 :
amen 🙏🙏
2025-12-04 13:28:41
0
anastaciaadi2
anastasia annastaacia :
amen
2025-12-04 16:20:29
0
pearm69
pearm :
Amen
2025-12-03 07:35:41
1
glowqwin50
🌹 :
Amen 🙏🙏🙏
2025-12-04 16:26:42
0
mummycicilia
Mummy Cicilia :
Amen 🙏🙏🙏
2025-12-02 17:14:09
0
florencebahati922
Florence Bahati :
amen
2025-12-02 11:10:09
0
jaklin2994
jaklin :
amen amen 🙌🙌
2025-12-03 12:00:51
0
To see more videos from user @mwlrenald.mlawi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About