@billwonderke: #bahatikenya #mother

BILL WONDER  🦁
BILL WONDER 🦁
Open In TikTok:
Region: KE
Tuesday 02 December 2025 14:50:00 GMT
151648
5091
88
56

Music

Download

Comments

mancitydiva4
Fabby🦋❤️ :
ni hizo barua umekua ukiandika zimejibiwa sasa
2025-12-02 18:03:33
3
immaculatenyakio0
🧚jianspencer🧚🏽‍♀💕 :
akh huyu n mama njeri ea hapo kwetu pliz am serious anakuanga ivo akijam🤣🤣🤣🤣
2025-12-02 18:59:46
3
nyar.buum
Never trust anyone :
lakini deep down wanafanana
2025-12-03 01:30:50
0
shinnahmwangi
Shinnah Julius :
aki si ata mamangu arudi tu hivi.... continue resting my momma
2025-12-02 17:16:38
22
rhumbizai
R💖h💝u💕m❤️b💘i🩷z💗a💞i :
Kuna vile tulibadilishanga hii song tukiwa watoi,who remembers😃"panya kubwa kwa jikoni, inanisumbua sana,nikitaka kuishika,inanipitia chobo "😂
2025-12-02 19:28:57
12
lilianmariam7
mariam :
babake pia ametokea🤣🤣🤣
2025-12-02 15:35:31
46
user9393954210751
mercy charo :
wakati hii nyimbo ikitoka yeye alikua wapi??? ndo anajitokeza saa hii
2025-12-02 17:35:13
2
jamaureen74gmail.com
🧿mohawk fade ⭕🧿.... :
anasema akimwona kwa tv mwili unasisimka na nywele zina simama
2025-12-02 18:01:41
10
chibudi57
chibudi :
haha😂 kabisa
2025-12-03 00:39:58
0
mofire234
mofire2 :
Afadhali huyu alipeleka children home kuliko kuuwa
2025-12-02 17:27:28
17
_i.am.teressa
_call me tess🌼 :
mimi ni Tata yake😂😂😂
2025-12-02 18:48:03
0
berxx248
berxx :
we can't charge,she is the only one that knows if she is laying or she saying the Truth
2025-12-02 17:40:02
5
njagi.kate4
mukami :
barua ya bahati imefikia mama yake sasa,,,, life is so private adi bahati akujua mama yake ako alive weeh
2025-12-02 16:26:44
4
jackabiii2
Okew Kan, :
bahati mamako alikua wapi ukianza kuimba byther ni swali tu 😅😅😂😂
2025-12-02 22:11:14
0
angelanjoki4
Anjela Njoki :
the best Christmas gift ever 🎁
2025-12-02 19:07:11
0
daisyb254
Ms chepkorir :
tupee sasa ya mama mpotevu
2025-12-02 19:10:55
0
wamboh121
wamboh :
mm ni sista ya Akoko Vall😁😁😁😁
2025-12-02 21:01:14
0
beganpretty3
began pretty :
all those years 🤔🤔🤔I don't know if I can accept 😕
2025-12-02 20:13:32
0
user77112795116172
Pauline nduku :
mkisii na mluhya ukambani Kwa nani bahati?
2025-12-02 19:25:36
0
ritahstam23
RitahAkinyi :
finally mama amekuja kujibu barua
2025-12-02 22:34:37
0
reines.closet001
Reine's closet001 :
wewe mama huna bahati🥸🥸
2025-12-02 16:06:10
2
john.ndungu92
John Ndungu :
umerudishiwa😂
2025-12-02 17:09:35
1
bree8967
🍂Bree🌸 :
Nipe tu dakika keti chini niwaambie 😩😂😂
2025-12-02 17:26:37
1
branicemiheso0
branice love :
ndio amepata barua Sasa
2025-12-02 18:11:39
1
baba.kim00
Baba Kim :
bona hakumtafuta hapa,akiwa na sinda,akajitokesa saa hii.😂😂
2025-12-02 19:41:11
0
To see more videos from user @billwonderke, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About