@bbcnewsswahili: Ndani ya muda mfupi, nchi 16 za Ulaya zilitoa tamko la pamoja zikihimiza kuchukuliwa kwa hatua za haraka, huku Marekani ikitangaza kuwa inatathmini upya uhusiano wake na Tanzania. Umoja wa Mataifa (UN), Jumuiya ya Madola, Umoja wa Afrika (AU) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) pia zimeelekeza macho yao nchini humo kuhusu mwenendo wa uchaguzi na matukio yaliyoufuata. Huu ni mwendelezo wa kile wachambuzi wanakieleza kama "presha ya kawaida ya kimataifa", lakini kwa Tanzania kiwango kilichoonekana safari hii kinaelezwa kuwa kikubwa zaidi kuliko ilivyozoeleka. Kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyotoa jijini Dar es Salaam mbele ya wazee wa jiji imeongeza mjadala huo. Akirejea wakosoaji wa kimataifa, alihoji: "Nje huko wanakaa ooh Tanzania ifanye hivi, ifanye vile… who are you (nyie ni kina nani)? Wanadhani bado ni masters (watawala) wetu?" Mwandishi wa BBC @scolar_kisanga anaiangazia taarifa hii: #bbcswahili #tanzaniatiktok #uchaguzi2025 #foryou #kenyatiktok
bbcnewsswahili
Region: TZ
Monday 08 December 2025 02:00:00 GMT
Music
Download
Comments
Dusman :
i never thought Tanzania would fall like this but its a strong country and it will come stronger
2025-12-08 03:36:14
17
〽️D.E.M.O 🦥🧸 :
BBC MUNGU AWALINDE SANA
2025-12-08 02:04:58
17
Mr.Peter :
hakuna diplomasia Tanzania yaani rais ashinde kwa 97% halafu akaapishwe jeshini aibu kubwa mnooo 😁😁
2025-12-09 17:32:40
0
𝕊𝕄𝕆ℂ𝔸𝕊ℍ😎♡€ :
Walete bunduki mambo mengi tuachie sisi😅💔
2025-12-08 02:50:56
11
goldgirl_00 :
Uchaguzi ❌ Uchafuzi ✔️
2025-12-08 02:34:33
19
ℙ𝕖𝕒𝕔𝕖𝔹𝕠𝕪 ℂ𝕝𝕒𝕤𝕤𝕚𝕔✅ :
Itengwe mpaka itakapokaa sawa.
2025-12-08 04:15:46
6
Tanzania Comedy :
good news
2025-12-08 03:38:11
0
kadamtiifu0 :
Rais Samia ndio chaguo la Watanzania. Tupo nae hadi 2030 sasa Watanzania tuchape kazi tuzidi kuwa wamoja
2025-12-08 15:43:00
0
💫GE😈®️GE✝️ :
BBC ❤️❤️
2025-12-08 02:05:29
1
+254@mike🇰🇪 :
wabongo watu poa , wanapenda amani hila political class is destroying the once precious country, new constitution changes will shape the country forwa
2025-12-08 14:00:13
0
zookey :
mbona maza hamtoki magetoni?
2025-12-08 05:19:41
1
Statesman :
we love our country
2025-12-08 15:59:12
0
abdulfatahissa1 :
yanawahusu Nini kwani nyoko nyie
2025-12-08 16:16:23
1
Zahra143 :
Yana wahisu nini mbwa nyny acheni uchonganishi
2025-12-09 06:01:45
0
Gen🇹🇿z :
Weep no Child...
This Time Tomorrow...
2025-12-08 04:09:11
0
Mr.Peter :
I love my country 🇹🇿
2025-12-08 14:27:00
0
kadamtiifu0 :
Rais Samia ndio chaguo la Watanzania. Tupo nae hadi 2030 sasa Watanzania tuchape kazi tuzidi kuwa wamoja
2025-12-08 15:42:47
1
Mj Moaz :
HONGERA DR SAMIA NAKUKUBALI KINOMA 💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪
2025-12-08 05:36:44
0
Asiana :
2025-12-08 07:44:16
0
Khamisi Fundi :
🥰
2025-12-09 12:07:47
0
Khamisi Fundi :
😳
2025-12-09 12:07:47
0
JkJ :
😳
2025-12-09 09:17:47
0
gianty_mwalonga :
🙏🙏
2025-12-09 08:04:06
0
ishruonmalik :
😁
2025-12-09 06:06:31
0
Lilian kika :
🥰
2025-12-09 04:53:28
0
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm
homepage.