@avopatips: “Sitaki watanzania wa maisha ya chini waonewe katika kipindi changu.” @avopa_phones @avopa_phones #avopatips #watanzania #magufuli #masikini #maisha

Avopa tips
Avopa tips
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 17 March 2026 12:06:38 GMT
1110803
83085
851
5043

Music

Download

Comments

p2912571
P💗💗 :
mungu tupe kama huyu Tena mungu wetyu 😭😭😭🕊️🕊️
2026-03-18 07:23:27
292
sarafina.massawe
Sarafina Massawe :
Leo tiktok nimgumu jmn😭😭😭😭
2026-03-17 21:34:08
109
stephenotieno41
Dcn/Eng SteveKaranda :
a heroe
2026-06-02 17:05:36
0
user8397665829029
pendo mponda :
😭😭tunakukumbuka daima
2026-03-18 07:32:07
45
athumanchuma
a c :
dah Kila nokisikia maneno yake roho inauma daima , tuna muomba mungu atupe kiongozi mfano wa huyu amiin
2026-03-19 06:53:38
66
user819698803712
Angel% beauty 💖💖 :
tutamkumbuka sana
2026-05-21 19:32:45
8
asher.stephan8
Amos stephan :
nakumbuka mbali jam😟😟😭😭😭
2026-05-12 18:29:10
10
user618133165003
user618133165003 :
mungu akulaze Mahali mpena🙏
2026-05-09 22:13:47
23
user800369256345
Martina.MS :
mungu tunaomba kama huyu Kwa mara nyingine🙏🙏
2026-03-28 09:50:19
39
user4668739883327
Harris :
ulale salama baba 😭😭 tunakukumbuka sana
2026-03-17 18:52:25
33
user1235583217518
user1235583217518 :
Amina
2026-03-29 18:46:07
1
user4057304687348
B BOY B :
Jembe hilo
2026-05-09 19:54:41
5
bigfive96
@Bigfive969 :
kipenzi Magufuli mtetezi wa wanyo nimetoka Kenya nakuheshimu sana
2026-03-20 05:05:54
23
chidy7727
chidy183email :
respect sana mzee
2026-05-11 14:06:39
6
shiodoreen234
Baby T🥰 :
daaaa baba 🥺🥺🥺
2026-04-14 03:27:19
5
user8430860950327
lily✨ capuccino✨❤ :
the best president ever in Africa 😭🕊️..
2026-04-14 19:50:06
5
samlion73
samlion :
Aliongea alichomaanisha, aliongea toka moyoni, aliongea tulichoamini anaamini🥰
2026-03-21 07:19:20
17
queeny.john
Miss Queen john ❤️❤️ :
Jmn kwann lkn nikiskia sauti yake najikuta nalia 2 jmn eee mungu hiii nafsi ya hyu baba ilale mahali Pema peponi
2026-05-13 19:41:27
5
hagabimanafrenice
hagabimanafrenaice fernando :
siko mutanzania lakini Mwamba kasema machozi akashuka kbsaa 😭😭😭😭 dunia ni duara kbsa
2026-03-28 23:12:22
5
josephat.mwalo
Josephat Mwalo :
jamn mungu tusaidie tuje tupate raisi wa hiviii jman😭😭😭😭
2026-03-20 05:51:42
12
user13994453943492
used name Lovenessjonathan :
Mungu nipe moyo kama wa huyu baba🙏🙏
2026-03-18 13:29:20
9
user1561177319551mm
melania kakulu :
Mungu tupe kama uyu tena
2026-03-19 09:07:35
8
jayngereza
Jimmy Ngereza 🇹🇿 :
M mungu ampumzishe kwa amani aamin aamin🙏
2026-03-18 01:12:34
8
bambii_tz
Bambii🥶 :
Dah pumzika kwa amani Big💪 tunakukumbuka sisi😥😥
2026-03-18 21:28:21
9
user5987342843849
varithanga :
Hakua mnafiki alijawa na hofu ya MUNGU, alikua Anajua fika Kuna kuhukumiwa mbele ya ALLAH
2026-03-21 08:02:09
7
To see more videos from user @avopatips, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About